Mzee wa Tamale Airport upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]My first quiz, nini inafanya Mwanza ikuwe ng'ombe na Kisumu ikuwe mbuzi?
Second quiz, do you have any 17 floors buildings in Mwanza?, Kisumu has 3.
Do Mwanza roads even have streets lights?
The last time I checked Kisumu economy was higher than that of Mwanza.
Kisumu real estate is better than that of Mwanza.
Kisumu has better roads than Mwanza.
Kisumu has better hospitals than Mwanza.
Kisumu has better airport than Mwanza.
Kisumu has more shopping centers than all cities in Tanzania combined outside Dar.
Kisumu has better schools than Mwanza.
The Port of Kisumu is better than that of Mwanza.
Kisumu is well planned than Mwanza.
Ni nini Mwanza inashindia Kisumu if I may ask.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teargas ni muongo balaa achananeni nae, ashawahi leta vitu vya ajabu humuHizo rangi acha kwanza tunajua kabisa before first world War rangi hazikuwepo twende hapa [emoji116][emoji116][emoji116]is this the current Kisumu city CBD unayopigia debe? au ni hivyo hivyo 1920 View attachment 1320569
Is this a city
Teargas ni muongo balaa achananeni nae, ashawahi leta vitu vya ajabu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikua Nairobi wakalemewa, wakaenda Mombasa wakatoroka sahii wako kisumu wanafunga virago. Aty Mwanza is the second town of Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Huwezi shindanisha city ya hivi na Mwanza hii washindane na ndugu yake mbeya city, maana hapa ni kama tunashindanisha mbuzi (kisumu) na ng'ombe (mwanza) mara mwingine aseme mbuzi ana ndevu ng'ombe hana but that doesn't mean mbuzi ni mkubwa kuliko ng'ombe
Bwahahaaa!!kw ile ile barabara yenu moja..eti city ya barabara moja[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nimesema mbuzi kuwa na ndevu haimanishi ni mkubwa kuliko ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti interchange ya hivyo
Kisha utakuta mtu hapa anajipiga kifua eti mwanza ni city[emoji23][emoji23][emoji23]
Kapsabet pia iko roads poa kushinda mwanzaKitale has better roads than mwanza
Tuonyeshe hzo za sasa...Picha ya Zamani sana hii.
Hiyo barabara ni ya kwenda Airport, Yes ni moja Barabara kuu, hiyo ishajengwa na kuwa njia nne mpaka sita
Ipo barabara kuu nyingine inayokwenda Mpaka Sirali mpakani na Kenya
Ipo barabara nyingine inayokwenda Shinyanga mpaka Dar Es Salaam ambayo ikifika Usagara Round about inatoa tawi la kwenda Kigali na Kampala
View attachment 1320304
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo ni ile ile barabara yenu moja[emoji23][emoji23]View attachment 1320446
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]just example
Kuna mtu kabanwa hku[emoji23][emoji23]Logde za kisumu zina kunguni sana aisee.... Hakufai... Narudia tena Hakufai
Sent using Jamii Forums mobile app
2004 data[emoji382][emoji382][emoji382]Msisahau pia 60% ya population ya kisumu wanaishi kwenye slums.View attachment 1320456
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuletee za 2019.
Tuonyeshe jengo la unique hapo ni log off jfView attachment 1320481
Turudi zetu hapa tupate wazamini[emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23], matangazo yetu yanakujia kwa uzamini wa kisumu city CBD [emoji3][emoji3][emoji4][emoji4]
Nakumbuka ile siku ulisema hostels maana yake ni nyumba zilizofanana...Mwanza kuna Estates lakini we do not prefer Estates, tuna uwezo wa kujenga nyumba zetu nzuri tu kushinda hizo hostels, ndio maana nyie mna slums na hostels (Estates) only [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbuzi kuwa na ndevu sio kigezo cha kumzidi ng'ombe ukubwa
Uliziacha google hko, ukaamua kuchukua ambazo zitawafurisha vinwengo wenzio..Tuletee za 2019.
Kama 2004 kisumu ilikuwa na watu laki 5 halafu 60 percent ya population yake wanaishi kwenye slums, vipi kuhusu sasa hivi ambapo population ya wakazi imeongezeka zaidi πππ hapo si population ya wanaoishi kwenye slums imeongezeka zaidi.Uliziacha google hko, ukaamua kuchukua ambazo zitawafurisha vinwengo wenzio..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah majengo matatu tu...Kisumu is a City. Mwanza siku mtawacha kujenga Vibanda and start building actual skylines kama hii hapa unitag[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1321145
Sent using Jamii Forums mobile app