Kisumu gets it’s first Traffic Light [emoji613] in 2019

Kwa hili tumewachapa wakenya ,Sisi traffic lights zipo karibia mikoa yote Tz
It means your towns have narrow roads that congestion is the order of the day.Did you know there are huge cities in the world which do not have traffic lights????
 
Wewe nae uelewage nimesema miji mingi ya Tzn ni localised planned yaani vieneo vichache vichache ndo vimepimwa kama hapo Dom especially Dar road na gvt sitting place but iringa road huko nkonzwe,Arusha road mnadani huko na singida road even town centre is full of uswazi na slums

Hata Nairobi ni sehemu ndogo tu imepangika,
Ukipita kule westlands maeneo ya Kule Oracle, Hata kule Nairobi West kumepangiliwa, but ukija maeneo ya huku langata hadi kule hospitali ya St Marrys uje hadi kwenye hii magereza unakuta tope tupu, Achilia mbali maeneo yenye slums ambapo Kenya ndiye kinara wa slums duniani kote
 
The District Hospital is open for you today
 
Wewe nae uelewage nimesema miji mingi ya Tzn ni localised planned yaani vieneo vichache vichache ndo vimepimwa kama hapo Dom especially Dar road na gvt sitting place but iringa road huko nkonzwe,Arusha road mnadani huko na singida road even town centre is full of uswazi na slums

Ila singida Nadhani more than 80% planned

IMG_0071.JPG
 
Wewe nae uelewage nimesema miji mingi ya Tzn ni localised planned yaani vieneo vichache vichache ndo vimepimwa kama hapo Dom especially Dar road na gvt sitting place but iringa road huko nkonzwe,Arusha road mnadani huko na singida road even town centre is full of uswazi na slums

Kunaweza kuwe unplanned, lkn kusiwe slums.
 
Hata Nairobi ni sehemu ndogo tu imepangika,
Ukipita kule westlands maeneo ya Kule Oracle, Hata kule Nairobi West kumepangiliwa, but ukija maeneo ya huku langata hadi kule hospitali ya St Marrys uje hadi kwenye hii magereza unakuta tope tupu, Achilia mbali maeneo yenye slums ambapo Kenya ndiye kinara wa slums duniani kote
Tzn imezidi bora eneo lisiwe planned waishi wenye pesa sio maskini,3/4 ya kenyan cities/towns ni planned and vice versa for Tzn.
 
Kunaweza kuwe unplanned, lkn kusiwe slums.
Only if wakaazi wakiwa wenye pesa kama mbezi,segerea,the whole area bodering mwenge bagamoyo road but hakupendezi lakini wakiishi mafukari slums hazikwepeki,the only solution ni kupanga miji
 
This is Iringa,
A 10th Largest town in Tz,
Below Dar, Mza, Arusha, Zanzibar, Mbeya, Tanga, Moshi, Dodoma, Morogoro
Beautiful and Cleanest of all cities in Kenya,
, I know you just stuck in your 1990’s ignorance mentality deep cemented by your small minded Gikuyu leaders, You need to Travel bro, nyakati zinaenda mbio na mambo yanabadilika.
View attachment 1105413View attachment 1105415View attachment 1105416View attachment 1105417View attachment 1105418
Kisumu iko juu kaka. Tembea Kenya uone Miujiza
tapatalk_1558076403851.jpeg
tapatalk_1558076841033.jpeg
tapatalk_1558076883043.jpeg
tapatalk_1558076850358.jpeg
FB_IMG_15586122743965427.jpeg
tapatalk_1558076593909.jpeg
tapatalk_1558076326160.jpeg
tapatalk_1558076378944.jpeg
IMG_20190517_094041.jpeg
tapatalk_1558076387203.jpeg
tapatalk_1558076959280.jpeg
tapatalk_1558077014860.jpeg
tapatalk_1558076948768.jpeg
tapatalk_1558076715339.jpeg
tapatalk_1558076925226.jpeg
tapatalk_1558076656811.jpeg
tapatalk_1558076661292.jpeg
FB_IMG_15580747800446719.jpeg
 
Hata Nairobi ni sehemu ndogo tu imepangika,
Ukipita kule westlands maeneo ya Kule Oracle, Hata kule Nairobi West kumepangiliwa, but ukija maeneo ya huku langata hadi kule hospitali ya St Marrys uje hadi kwenye hii magereza unakuta tope tupu, Achilia mbali maeneo yenye slums ambapo Kenya ndiye kinara wa slums duniani kote
"Lang'ata haijapangika", alisikika bongolala akisema 😂
Screenshot_20201123-152905.png
Screenshot_20201123-153219.png
Screenshot_20210126-014046~3.png
Screenshot_20210126-014444~2.png
 
Back
Top Bottom