Kisumu gets it’s first Traffic Light [emoji613] in 2019,

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,129
2,000
Kisumu is Kenya’s Third Largest City,
Getting Traffic Light in 2019,
IMG_6371.JPG

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,559
2,000

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,129
2,000
Hahahahaha, Hahahahaha, hahahahaha,

Approach ya Kenya na Tz kwenye Maendeleo ni Tofauti sana,
Sasa mji hata hauna Traffic lights, Lile tuta wenyewe wanaita flyover walijenga la nini ikiwa hata magari ni Machache huko kisumu?
Kenya imekuwa ikikopa pesa na kufanya miradi ya show offs, Miradi isiyo na tija,
Ndio maana ni Vigumu sana Kuelewa kwanini Kenya imekopa mabilioni uchina na kujenga bandari ya Lamu
Au isiolo airport,
 
Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,570
2,000
According to these well educated Kenyans, you have only two options
1)To go the Sudan way "To remove Uhuru by force"
2)To continue as it is now watching collapsing of the Economy.

From a mongoloid from the dead dark republic of Dangagiza
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,559
2,000
Approach ya Kenya na Tz kwenye Maendeleo ni Tofauti sana,
Sasa mji hata hauna Traffic lights, Lile tuta wenyewe wanaita flyover walijenga la nini ikiwa hata magari ni Machache huko kisumu?
Kenya imekuwa ikikopa pesa na kufanya miradi ya show offs, Miradi isiyo na tija,
Ndio maana ni Vigumu sana Kuelewa kwanini Kenya imekopa mabilioni uchina na kujenga bandari ya Lamu
Au isiolo airport,
Ukiwasikiliza hawa wakenya, wanazungumzia mambo makuu mawili yanayosababisha Uchumi wa Kenya kuparaganyika
1)Urushwa
2) Uwezo mdogo wa kufikiria wa viongozi

Ukweli ni kwamba, viongozi wengi na wakenya kwa ujumla, uwezo wao wa kufikiria(rational thinking) ni ndogo sana, yaani ukijaribu kuulizia "rationale" ya miradi na maamuzi mengi yanayofanywa na wakenya au na Serikali yao, unaweza kulipa.
 
I like the way you really watch our tv stations and follow events in Kenya.Congratulations ,that can only mean one thing...….
 
Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,570
2,000
Ukiwasikiliza hawa wakenya, wanazungumzia mambo makuu mawili yanayosababisha Uchumi wa Kenya kuparaganyika
1)Urushwa
2) Uwezo mdogo wa kufikiria wa viongozi

Ukweli ni kwamba, viongozi wengi na wakenya kwa ujumla, uwezo wao wa kufikiria(rational thinking) ni ndogo sana, yaani ukijaribu kuulizia "rationale" ya miradi na maamuzi mengi yanayofanywa na wakenya au na Serikali yao, unaweza kulipa.
Nyinyi uwezo hata hamna,kuanzia head of state anafikiria kama kuku.nchi enyewe hata inaezakuongozwa na upepo ama giza.
 
Kunta kinte1776

JF-Expert Member
Feb 22, 2019
298
500
Kisumu is one of the best planned cities in kenya,with streets and avenues intersecting at 90 degrees,traffic flows smoothly even without traffics lights,i know the words 'avenues and streets' confuse tanzanians because your cities are big sprawling villages za ujamaa,then you see an idiot celebrating traffick lights in chato:D:D:D:D-a back water village without drainage and planning LOLk-indeed kenya and Tz are totally different when it comes to development.
 
Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,570
2,000
Hahahaaa, kaaazi kwelikweli...
Kisumu is one of the best planned cities in kenya,with streets and avenues intersecting at 90 degrees,traffic flows smoothly even without traffics lights,i know the words 'avenues and streets' confuse tanzanians because your cities are big sprawling villages za ujamaa,then you see an idiot celebrating traffick lights in chato:D:D:D:D-a back water village without drainage and planning LOLk-indeed kenya and Tz are totally different when it comes to development.
Kisumu city will host Africities in the next year,Not even Dar can manage that.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom