Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wakuu wa nchi hivi kuna mtu alishawahi kupona kisukari type 2? Msaada jamani .
Mazoezi na kula vizuri vinasaidia kucontrol type2 diabetes pamoja na insulin. Punguza pombe kama ni mnywaji, punguza vyakula vyenye mafuta mengi na sukari. Sukari inashidwa kuingia kwenye cells itumike kama energy hivyo inabaki kwenye damu. Usipoincontrol inaweza kusababisha stroke.
wanga ndio sukari ni complex sugarPunguza na vyakula vyenye wanga. Wanga ikizidi inabadilika nakuifadhiwa mwilini kama mafuta. Tembea si chini ya dkk 45 kila siku.