Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,025
- 126,008
Yuko wapi mwenye uzi wake eti? 😅Hahah ndo naingia muda huu dada
Yuko wapi mwenye uzi wake eti? 😅Hahah ndo naingia muda huu dada
Ama kapotea tenaYuko wapi mwenye uzi wake eti? 😅
Huenda ikawa. 😂😂😂Ama kapotea tena
Hongera sana karibu.Habari za jioni JF?
Nilipotea kwa zaidi ya miezi 6 kwasababu ya zilizopo nje ya uwezo wangu lakini sababu kubwa ni kukosa uwezo wa kulog in kwenye account yangu.
Naamini mtanipokea tena katika majukwaa yote, kwa bahati mbaya lile jukwaa letu pendwa wameliondoa[emoji35].
Tujumuike kusogeza gurudumu la maisha mbele.
Sent from my iPhone using JamiiForums