Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
wadau hivi katika kuduu,unashauriwa bao mwisho ngapi?mana kuna limama jana limening'ang'ania mpaka bao tatu,sasa likawa linataka tena,mimi mguu ikaanza kutetemeka,ikabidi nipige la nne,mwisho nikawa hoi,usingizi hapo hapo,hata sikujua limetoka muda gani,je kiafya na kistarabu ni ngapi?
Itategemea na mvuto wa mwanamke, kama wa ukweli, msafi na anajituma unajitungua hata kumi, haina formula kaka
Wadau hivi katika kuduu unashauriwa bao mwisho ngapi? Maana kuna mwanamke jana amening'ang'ania mpaka bao tatu bado akawa anataka tena, Mimi miguu ikaanza kutetemeka ikabidi nipige la nne.
Mwisho nikawa hoi,usingizi hapo hapo,hata sikujua ametoka muda gani.
je kiafya na kistarabu ni bao ngapi zinatakiwa?
piga 1 x 2 daily