Huwa yanauzwa wapi ili Nasie mashangazi Tuanze kuyabugia?? ๐๐คฃAnakula maziwa ya nyuki huyo bila shaka.
๐๐๐๐๐naona umekesha na nyetรธ usiku mzima ukaona haitoshi ikabidi umuanzishie na thread kabisaa
Hamna shida mbona ana itembeza sana huyuMKE WA mtu uyo mkuu, acha tamaa
Ili muwe vibinti vya 2000?๐Huwa yanauzwa wapi ili Nasie mashangazi Tuanze kuyabugia?? ๐๐คฃ
Umri wake?Wazoefu mtwambie,
Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani,
Maana ni amegoma kabisa kuzeeka.
Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu๐