Kiss on the neck...

Boflo wa jf ni kweli hayo??
unasikiaga raha gani?
what abt kiss on masaburi?
 
Last edited by a moderator:
Nitarudi kusoma comments baadae
 
hahaaaa...bofloooo

aiseee acha kabisa ukikutana na mjuzi wa mambo unaweza ufaint kwa raha..

hyo kisi ya kwenye b..t nayo ni balaa..
 
tha kiss is so tantalizing don remind me napenda sana ile hata akihemea tu hapo na kahewa cha motomoto aisee mchan huu niacheni nifanye kazi za watu hahahhahahahaah

umeona eeh Nivea acha kabisa halafu awe anaongea huku anakunong'oneza uuwiii...waweza ona upo sayari ingine..

eeh naunguza ngoja kwanza nikaongeze maji
 
Last edited by a moderator:
tha kiss is so tantalizing don remind me napenda sana ile hata akihemea tu hapo na kahewa cha motomoto aisee mchan huu niacheni nifanye kazi za watu hahahhahahahaah

lol! umeshavusha shosti...........angalia usijeng'atwa tu!!
unajua huyu watu8 ana maneno kama mdigo!!!
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh Nivea acha kabisa halafu awe anaongea huku anakunong'oneza uuwiii...waweza ona upo sayari ingine..

eeh naunguza ngoja kwanza nikaongeze maji

Uwi! Ati "masaburi" ndio nini 2mia lugha ya kisayansi(ina yo eleweka) coz wengine hatukusoma HKL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…