Kisomo Ikulu Dar es salaam

Swala ni kwamba WHITE HOUSE imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.

swissme;

Na nyinyi kwa mapepo! hiyo kusoma dua ya kumshukuru Mungu tu imekuwa nongwa hivyo. Ingekuwa anaamini kachezewa asingekwenda hospitali angeishia kwa waganga wa kienyeji.

Ila nashangaa wenzetu mbona makanisani wachungaji wako mstari wa mbele kuombea watu na kuwatoa mapepo?
 
nimeweka picha ya Nyerere na Masheikh lakini Mod wameificha (hidden) !

Kwa kuficha hizo ndo zao lakini za makalio ya kina dada NO kwao ni poa na ukweli unaumma tena sanaaaa na huu ukurasa naona kama wa kibaguzi baguzi au ndo wenywe ni kina msalaba
 
Huwezi kufanananisha kufanya kisomo ikulu na msikiti wa makka ni vitu 2 tofauti kabisa.Makka ndio Makao makuu ya dini ya kiislam na ikulu ni makao ya Rais mkuu umesoma darasa la ngapi?
Madrasa. Bahati mbaya haina grade wala syllabus maalum!
 
halafu ushangae viongozi wa madhehebu ya uislamu na ukristo wanapendana, wanaalikana ila hawa waumini sasa ndio wanachukiana na kusemanaaa...Dhambi zimewatawala



Ndugu zangu mkumbuke kuna Viongozi wa Kanisa hawa wanakwenda kula Futali hapo Ikulu.
 


Huyo mpangaji wa Ikulu mbona matambiko yake yote anafanyia Bagamoyo sasa kwanini anajisi IKULU yetu kwa hicho kisomo na harusi za nduguze? Hiyo ni dalili tosha ya kiongozi asiyejari maadili ya kazi yake sawa na yule marehemu aliyegeuza ofisi za hazina kuwa msikiti wake akidhani angekuwa pale milele!!
 
.........patakatifu ndipo panaposomwa duwa kumshukuru Mungu na pia kumuomba kheri zake ! ...au hutaki tu Waislaam waombe duwa Ikulu !?


Ni kweli mahapa patakatifu ndipo panapofaa kuombea dua lakini IKULU ya leo sio mahala patakatifu tena hivyo hapafai kuombea dua kwani pamenajisiwa na kuwa PANGO la wezi tena wa mchana wanaokwenda na viroba kwenda kukwapua mapesa yetu sie maskini!!
 
Sio kila ugoro upostiwe humu mnadharirisha jf
 
Mkome kuchagua wapiga vidufu kuingia ikulu
 
Ili twende sawa akipatikana Rais mkristo naye aweke jumuia na pia aje kuoa mapepo.
 
hivi ile albadir ya Mengi imeishia wapi?
 

.haaa...haaa...haaa ! Patakatfu ndipo Mwenyezi Mungu anapo kurubia ! .......Duwah haisomwi Bar ndugu yangu Bulesi !
Rais Mkapa ndio muanzilishi wa kufanya party za Harusi Ikulu. Au imewakera sana kuona waswahili swahili na makanzu kanzu ikulu !??........maana nyie kwa nongwa na chuki !:blabla:
 
Last edited by a moderator:


Makanzu kanzu na barakashia hazijaanza leo kupanga Magogoni kwani hata Sheikh Mwinyi alipanga pale kwa miaka kumi lakini sherehe zake alifanyia nyumbani kwake Mikocheni na sio Ikulu!! Huyu limbukeni ndio aliyeinajisi Ikulu kwa kufanyia mambo yake ya hovyo ilhali ana mji wake Regent na huko kwao Msoga!!
 
halafu ushangae viongozi wa madhehebu ya uislamu na ukristo wanapendana, wanaalikana ila hawa waumini sasa ndio wanachukiana na kusemanaaa...Dhambi zimewatawala

Njaa tu na lack of exposure inawasumbua wabongo wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…