Kisomo cha Phd

Jamani nauliza tu hivi naweza kusoma kuazia chekechea mpaka chuo kikuu na kufikia kiwango cha phd bila ya kwenda kusoma ulaya au nchi za nje
Inawezekana kabisa, na unaweza ukawa bora sana kuliko waliosomea nje ya nchi. Elimu hasa ya ngazi za juu kwa kiasi kikubwa ni juu yako mwenyewe kuliko kutegemea nani au chuo gani kikufundishe. Uamuzi ni wako kuchukua hatua, kukazana na kuwa bora zaidi.
 
Tafadhali sana mtoa mada! Jitahidi usome mwisho shahada ya uzamili (Masters) tu hapa Bongo!

Ikiwezekana hiyo Shahada ya uzamivu yaani PhD, basi nenda kasomee nje! Nimefanya utafiti wangu mdogo tu na kugundua wengi walio tunukiwa hizo PhD za Bongo, na hasa Wanasiasa! Kiukweli uwezo wao unatia sana mashaka.

Mifano ni mingi na muda ni mchache. Naomba kuwasilisha.✍️
 
Mifano ni mingi na muda ni mchache. Naomba kuwasilisha.
Kimsingi kuanzia shahada ya kwanza bora mtu anende nche..huku bongo ni brash tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tafadhali sana mtoa mada! Jitahidi usome mwisho shahada ya uzamili (Masters) tu hapa Bongo!

Ikiwezekana hiyo Shahada ya uzamivu yaani PhD, basi nenda kasomee nje! Nimefanya utafiti wangu mdogo tu na kugundua wengi walio tunukiwa hizo PhD za Bongo, na hasa Wanasiasa! Kiukweli uwezo wao unatia sana mashaka.

Mifano ni mingi na muda ni mchache. Naomba kuwasilisha.✍️
Hahaha ila zipo zile joint programs ni nzuri mfano unasoma sweden mwaka 1 then miaka 3 una maliza bongo
 
Back
Top Bottom