Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mbona imewekwa ulihitaji picha ipi?Picha yake shi ngapi kuweka hapa
Picha kaweka hapo juu.Picha yake shi ngapi kuweka hapa
hilo kaburi nielezee kidogoo ningependa kujuaNimetembelea hili eneo, limejaa historia kubwa sana ya wageni na wazawa kina Mwanamakuka
Nilipata historia ya kusisimua toka kwenye kaburi ya wapendanao na mengine mengi
Waumini wengi wa hufika pale na kufanya ibada
Kaburi la wapendanao bagamoyo walizikwa wanandoa wawili ambao maiti zao zilikutwa pamoja ufukweni. Inasadikiwa kwamba chombo walichokua wakisafiria kilikumbwa na dhoruba na wanandoa hao waliamua kutumia nguo zao kujifunga pamoja ili wasipoteane kwenye bahari na pale inapotokea wamepona wapone wote.hilo kaburi nielezee kidogoo ningependa kujua
Hakuna mahali labda kwenye website unaweza kupata taarifa hizi?Kaole, mji wa zamani wa Bagamoyo una mambo mengi ya kustaajabisha ikiwemo kisima cha ajabu chenye miaka zaidi ya 800.
Uajabu wa kisima hicho ni kuwa maji yake hayapungui bila kujalisha kipindi cha mwaka au kiasi cha maji kinachochotwa.
Ajabu lingine la kisima hiko ni kuwa kipo karibu na bahari lakini kinatoa maji baridi(yasiyo na chumvi) hali hiyo ndio imeongeza imani ya watu wengi.
Kisima hicho kilichimbwa kwa ajili ya kutawadha waislamu, kipo pembeni mwa Msikiti wa kwanza kujengwa tangu walipoingia Washirazi.
Kaole ilikuwa ni bandari ya kwanza iliyotumika ambayo karne ya 17 ilihamia ilipo hivi sasa kutokana na kina cha maji kupungua hivyo tangu hapo Mji wa Bagamoyo ukaanza kutumika huku Kaole ikiwa imeachwa kama makumbusho.
View attachment 1655991
... ulishaambiwa ndipo palipokuwa makazi ya kwanza ya washirazi; ingekuwa kinyume ndio ingekuwa maajabu!....
Maajabu na visanga vya Kaole vilinipatia hamu ya kupakimbia huko maana majini na watu ilikuwa kama mnapishana sokoni Kariakoo
Hivi washiraz ni majini?... ulishaambiwa ndipo palipokuwa makazi ya kwanza ya washirazi; ingekuwa kinyume ndio ingekuwa maajabu!
... wanayafuga kweli kweli!Hivi washiraz ni majini?
kwanini labda?... wanayafuga kweli kweli!
... mitandaoni huko kumetapakaa elimu nyingi kuhusu majini; zitafute ujisomee utapata mwanga kwanini washirazi na wengine wanapenda kuyafuga.kwanini labda?
mmh kwasasa niko freebasics lakin pia mtandao ni kama bahari ni ngumu kujua dagaa wanapatikania wapi... mitandaoni huko kumetapakaa elimu nyingi kuhusu majini; zitafute ujisomee utapata mwanga kwanini washirazi na wengine wanapenda kuyafuga.
Kisima Cha Bibi, Iringa
Shukrani ziwarudie WAARABU walezi na watunzi wa Amani na maskani....Kaole, mji wa zamani wa Bagamoyo una mambo mengi ya kustaajabisha ikiwemo kisima cha ajabu chenye miaka zaidi ya 800.