Khaaa! Na hizo line mbili unazitumia zote?Kisimu changu kidogo cha line mbili kinanisevu nimi...ha ha ha
Kacie eehπ€,twende kuleeeeUsiniguse nimelewa mie...
Pombe yangu ukimwaga utalipa weyee
Nasema ukichukua kisim changu na mziki utazimwaa.....
Iko hivii, wee bibi cheza singeli ooh mziki wa singeli....
Kasie naruka singeli....
Mwanzoni miziki ya aina hii nilikuwa naiona ya kihuni isiyofaa na watu wenye heshima na staha zao hawawezi kucheza miziki aina hii.
Ila..... siku nilipoingia ulingoni na kuhakikisha beat zinaendana na step zangu yaani hata kwenye gari naweka singeli......
Kuna ambao hawata nielewa msijali, hiki kisim changu kidogodogo kinansevu sana....
Nataka niache kulewa mie, niache na bangi mie... viroba tupa kulee ni mwendo wa safari na balimi ππ½ππ½ππ½ππ½
Dadii, you are more than music to me, aaiiilaaabyuuuuu πππ.
Kβ π₯° Matata.
Fanya utafute supu yenye ndimu za kutosha maana sio kwa hangover hizo yani hata kukucha badoπ
Mi bado niko kwenye Raggamufin bhana. Usikaze kiuno changu kwa Masingeli. Ntashindwa kuchochea kiuno kama Kangi Lugola.Babu acha fujoo, vaa miwani usome vizuri aahahahahahahhahaaa
Twende mwendo wa singeli......
Mi bado niko kwenye Raggamufin bhana. Usikaze kiuno changu kwa Masingeli. Ntashindwa kuchochea kiuno kama Kangi Lugola.
daaaaah ya nini kutiana nye ge asubui subui
Aahahahaahahahahahahaaa
Malabuku zako na kisim changu kidogodogo....
Soma hiyoo injinia babu ngapi hukoo....
Babu nataka nikupe challenge, nataka tupande ulingoni tulisakate singeli mwanzo mwisho bila kusimama wala kupumzika baadae ya hapo zawadi ya ushindi inakuhusu hahaha hahaha
Kasie Kitoko.
We utacheza singeli wakati mi nasakata Ragga... Patakuwa hapatoshi.Aahahahaahahahahahahaaa
Malabuku zako na kisim changu kidogodogo....
Soma hiyoo injinia babu ngapi hukoo....
Babu nataka nikupe challenge, nataka tupande ulingoni tulisakate singeli mwanzo mwisho bila kusimama wala kupumzika baadae ya hapo zawadi ya ushindi inakuhusu hahaha hahaha
Kasie Kitoko.