Heri kuongozwa na Alshabab mwafrika mwenzako kuliko kuitwa, "Sabaaaaniiii iko osha toto chooni bhana" na gabachori kila siku. Na siku akipingwa anachukua hela zake za kununulia mechi na marefa, matokeo yake timu inaanza kulala mzungu wa nne hotelini, kocha analia nyumba yeke haina maji, haina umeme, hana usafiri anatumia pikipiki kwenda mazoezini na mwisho timu inafungwa mabao tano tena.Great thinkers wanaongozwa na alshabab!? C'est ne pas possible!
Mkuu hawa watu ni wagumu kuelewa lakini wana shahada ya kusahau.Haruna Moshi (Swiden),Henery Shindika(Norwey),Bwana Samatha(Drc),Emmanuel Okwi (Aljeria) Dany Mrwanda ( Vietnam) haya Taja wa Yeboyebo aliyeenda hata Burundi.Usajiri wa Yeboyebo wenyewe unategemea Simba Unabisha?
Mkuu hawa watu ni wagumu kuelewa lakini wana shahada ya kusahau.
Wangelijua hilo kuwa Yanga ni Simba B wasingpepesa macho hapa. Kuanzia kipa wao, beki, mpaka walimtaka na kiungo wetu anayetupia nyavuni kila mechi ya Stars lakini wakashindwa dau. Chezea Simba wewe, wakileta mchezo tunawapiga mkono tena na wakina Ngasa wao.
Kama unakumbukumbu nzuri yupi kati ya hao uliowataja nani alichukuliwa kutoka Yanga directly kama Yanga ilivyofanya kwa Yondani ambaye hata mkataba ulikuwa bado haujakwisha, Ngasa, Kipa mnayejivunia sasa hivi Barthez, kama Yanga ilivyofanya kwa Kaseja na baada ya kuwachuna akarudi nyumbani.Hawa pia umewasahau walitoka Simba: David Luhende, Taita, Nadir Haroub, Msuva, Kiiza, Niyonzima, Kavumbagu, Domayo n.k. Na hawa pia walikulia hapo Simba: Amir Maftah, Kigi Makassy, Amri Kiemba n.k. Kwa mtaji huu Yanga ni Simba B.
Kama unakumbukumbu nzuri yupi kati ya hao uliowataja nani alichukuliwa kutoka Yanga directly kama Yanga ilivyofanya kwa Yondani ambaye hata mkataba ulikuwa bado haujakwisha, Ngasa, Kipa mnayejivunia sasa hivi Barthez, kama Yanga ilivyofanya kwa Kaseja na baada ya kuwachuna akarudi nyumbani.
Ukweli utabakia pale pale ili Yanga ichukue Ubingwa inahitaji nguvu kubwa ya wachezaji kutoka Simba kama mlivyofanya mwaka uliopita, bila hivyo kombe mngelisikia tu pamoja na kununua marefa kwenu kunakofanywa na gabachori. Na ndiyo maana ili kulinda kombe la ligi kuu mlijaribu kumchukua na Kingo wa kimataifa wetu ambaye wakati Simba inamchukua alikuwa huru tena chini ya kiwango lakini baada ya kuja chuo kikuu sasa mnaona anaweza kuwasadia ili mwakani Yanga na gabachori wao wasinunue marefa tena.
Heri kuongozwa na Alshabab mwafrika mwenzako kuliko kuitwa, "Sabaaaaniiii iko osha toto chooni bhana" na gabachori kila siku. Na siku akipingwa anachukua hela zake za kununulia mechi na marefa, matokeo yake timu inaanza kulala mzungu wa nne hotelini, kocha analia nyumba yeke haina maji, haina umeme, hana usafiri anatumia pikipiki kwenda mazoezini na mwisho timu inafungwa mabao tano tena.
Simba ndiyo klabu pekee iliyoweka rekodi ya kufika fainali za afrika hakuna kitimu chochote kingine kinachopigwa mabao matano Bongo kimeweza kutia maguu level hiyo.Mkuu angalia usijekuwa unajitusi mwenyewe. Kumbuka mmetoka arabuni juzi juzi tu mkalichezea, kabla ya kukirimiwa Angola na lile dude likawawekeni gheto.
Unajua mke wa mtu siku zote anaamini bwana wake ni bwana wa wote, waungwana tumekuelewa. Msalimie bwana wako AZAM aliyekuchapa vitatu mpaka ukampiga ngumi mwamuzi.Alaa kumbe tatizo lako ni hilo. Kwa taarifa yako Yanga ina ubavu wa kuchukua mchezaji yeyote yule imtakaye A. Mashariki na Kati, wakati Simba haina uwezo huo. Sana sana mpaka mkamlilie bwanenu Azam awe kama daraja. Maneno mengi mno nyie watu.
Unajua mke wa mtu siku zote anaamini bwana wake ni bwana wa wote, waungwana tumekuelewa. Msalimie bwana wako AZAM aliyekuchapa vitatu mpaka ukampiga ngumi mwamuzi.
Wewe huna makalio?Mkuu nimevutiwa na signature yako, vipi unalikumbuka zaidi Libolo lipi? La Angola au la Jangwani?