Kisiki cha Simba Ndani ya Bodaboda

Bila shaka hao wote waliisaidia SIMBA SC wakitokea YANGA msimu uliotangulia. Ngoja tumsubiri aje kutuhakikishia.

He, kweli Nyani haoni....., kwani Nurdini, Chuji na Gumbo wana misimu mingapi Yanga? Tena basi ukiacha Yondani wengine wote walisajiliwa na Yanga kama "reject." Midomo inaponza hiyo. Nurdin mlimstaafisha soka nyie, Gumbo kiwango kilikuwa chini, pia Barthezi kipa wa benchi na Chuji alitemwa kwa kiwango kibovu. Nyie vipi bana!!!!!
 
Mkuu taratibu, utakuja kumpiga ngumi hata ndugu yako, ukinifuatilia vizuri utagundua hapo nilikuwa namkejeli shabiki wa Yeboyebo. Soma vizuri.
 
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
Bila shaka maana hana hata kumbukumbu ndogo tu ya mtoto wa chekechea. Hajui asemalo msamehe bure
 
Hivi Nonda Shabani alienda Ulaya akitokea Yanga?
 
Mkuu taratibu, utakuja kumpiga ngumi hata ndugu yako, ukinifuatilia vizuri utagundua hapo nilikuwa namkejeli shabiki wa Yeboyebo. Soma vizuri.
unajua aliisoma literally sio analytically
 
unajua aliisoma literally sio analytically

Mdomo huo, unataka analysis gani weye? Nduguyo anataka kutuaminisha kuwa wachezaji walioko Yanga ni msimu wao wa kwanza wakati wale wa Simba wana misimu kadhaa tayari. Hebu lete analysis yako basi. Mdomo huo!
 
amekujibu kwamba aliandika kiarabu, wewe hukung'amua?
 
sifa nyingine ya wana Jangwani/yEBOYEBO ni kwamba NI WAGUMU KUELEWA HALAFU WEPESI KUSAHAU
Nimemuuliza swali ambalo yeye mwenyewe amegundua kosa lake, akaona anijibu kwa kihuni, eti ametokea Jengo jekundu MSIMBAZI. Sasa Msimbazi na swali lenyewe limtokea wapi kama si jamaa limekosa ama lina ufinyu wa kutoa hoja tu.
 
Haruna Moshi (Swiden),Henery Shindika(Norwey),Bwana Samatha(Drc),Emmanuel Okwi (Aljeria) Dany Mrwanda ( Vietnam) haya Taja wa Yeboyebo aliyeenda hata Burundi.Usajiri wa Yeboyebo wenyewe unategemea Simba Unabisha?
 
I Like This
 
mbona unataja ligi za uchochoroni hizo ligi huwezi wapeleka wachezaji wa yanga make watakufa njaa yanga panakila kitu
 
MKUU NA HII NDIYO MAANA IKAITWA HOME OF GREAT THINKERS. Mtu akiparamia hoja kichwa kichwa lazima aangukie pua.

Great thinkers wanaongozwa na alshabab!? C'est ne pas possible!
 
mbona unataja ligi za uchochoroni hizo ligi huwezi wapeleka wachezaji wa yanga make watakufa njaa yanga panakila kitu
wewe ulitaka nchi au uchochoro? kwani huo uchochoro uko Manzese? Yanga bhana
 
akikuwa atanunua bajaj ya kwake ndio uwezo wake huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…