unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................Bila shaka hao wote waliisaidia SIMBA SC wakitokea YANGA msimu uliotangulia. Ngoja tumsubiri aje kutuhakikishia.
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako
Duh Watu8, inabidi pia utumie kanuni ya Relativity
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako
huyu je mkuu? lakn Mafisango alifia ndani ya GX yake ndio maana hatuwapi magari siku hizi, besides, dogo tangu apewe mpungaa amekua bize na mazoezi...........Hahaha...mkuu huyo mchezaji anajiweka matatani kwa kupanda Bodaboda...
Ajira yake bila miguu haiwezekani halafu yeye anaiweka rehani kirahisi tu hivyo...
Ningekuwa mimi ni yeye ningerudi nyumbani kwa kufanya jogging ili kuimarisha zaidi pumzi...
Kwa nafasi anayocheza (Nadhani ni mkoba wa kulia), ingemuongezea wepesi uwanjani...
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
Hivi kweli simba imeshidwa kuwanunulia wachezaji wake magari.
Kwali simba siyo timu
Naona unanibana wanaocheza ligi ya nje, lakini wa ndani huangalii, sisi bado ni wa hapahapa wachache hawa...
Adam Nditti, Njohole, Sammata, Shengo na wenzake wa 5 (German) Mwameja, Boban, Ngassa, Masatu,
mkuu bora ungesema tu wa chama cha siasa...........unanilinganisha na CCM? dah, nitake radhi mkuu, nachukia sana hiyo rangi, hata machungwa sili sbb ya rangi ya hiyo chama
Abdallah Bin Kleb na Seif Magari wanacheza Kagoda FC ya Austria.
Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako
senetenso inasema Kisima cha soka TANZANIA sio kwingineko...............
mkuu mafisango sio lake alikua amekodishaView attachment 97451
huyu je mkuu? lakn Mafisango alifia ndani ya GX yake ndio maana hatuwapi magari siku hizi, besides, dogo tangu apewe mpungaa amekua bize na mazoezi...........
Utakuwa Msomali wewe, sikushangaiSimba ni kisima cha Soka Tanzania.......
Nani Katwaaa Ubingwa? ukijibu hili umemaliza analysis