Kisiju moja iyo

Kisiju moja iyo

Kujisugua miguu? Tabu yote ya nini hiyo wakati maisha yenyewe mafupi.
 
Nilikuwa na binti mmoja mfanyakazi wa dukani,alivyokaa town na kujua kupiga pamba za kubana makalio,siku moja alitembelewa na wazazi wake kwa mapigo hayo,ambao walifikishwa pale na mtu anayepafaham,hauwezi kuamini binti alikuwa anakana ya kwamba ni wazazi wake akisingizia ni wazee tu wa huko kijijini.
mi ningemrudisha kwao baada ya hapo
 
ana undugu na huyu?
70a264deaccc9ffccebecc703d2b660d.jpg
Duu naona ni dugu moja
 
Huyo hata akikatiza juani peku haungui na jua.
 
wanyamwez wengi wenye asili ya asia (waraabu) chuma cha nkola ,ulaya , usoke , bukene mwisi hizi nyayo za hvyo ni kama jezi kwao hata awe na hela
 
Kwa huo mguu na hizo kashata ni marufuku kupita kwenye lami akifunga breki za ghafla ni shida..
[emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom