Kishindo: Freeman Mbowe kuunguruma Hai

Kishindo: Freeman Mbowe kuunguruma Hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,623
FB_IMG_1582818701129.jpg


Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !

Wote Mnakaribishwa .
 
Anahaki ya kuzungumza na walio mpa nafasi ya kuwawakilisha bungeni


Hii ndio maana ya kuwa mbunge unarudi kuwambia ulipo fikia kero zao walizo kutuma nazo
 
Mbunge kuzungumza na wananchi wa Jimbo lake siku hizi ni Habari?

Hizi ni dalili za mbunge huyo kupoteza legitimacy wa kuendelea kuwa mbunge...
unadhani ni kwanini wabunge wa ccm wanaogopa kuitisha mikutano ya hadhara kwenye majimbo yao ?
 
Poli CCM hawakawii kusema hawana askari wa kutosha kudhibiti mkutano wa Mbunge.

Hawa nao ni wa kuwahurumia...wanafanya kazi mazingira magumu mno.
 
Kuunguruma Hai? Kwani amekuwa mnyama Simba?

Hoja yako kimantiki inaonyesha Mbowe hajafanya mikutano na wapiga kura wake muda mrefu mpaka unadhani ni jambo la ajabu sana kwake kuongea na wapiga kura wake!
Partisanship has completely cursed your mental ability.........the silliest girl
 
Polis watafanya figisu, ccm hawatamani upinzani nao wafanye siasa kama wao...
 
Huyo ni mkora tu,hana lolote ,ameenda kuaga wapiga kura wake
View attachment 1370832

Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !

Wote Mnakaribishwa .
 
Freeman Mbowe alikuwa zaman akiunguruma mpaka Ikulu ya Mkwere inapata mafua na Chafya

Akitaka kuandamana basi inabidi IGP Said Mwema amwite Makao makuu ya Jeshi kuyajenga

Siki hizi DC wa Hai Bwana Mdogo anaweza akasamabaratisha Mkutano wa Mbowe kama wa Pohamba vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom