Hapana huku kwetu majenerali wengi hawana shule kubwa zaidi ya military academy na wanakuwa bribed sana na watawala. Kwa East Africa kidogo Uganda ndo kulikuwa na kikundi cha uasi ambacho hakikufanikiwa refer Joseph Kony.Inawezekana mfumo uliotengenezwa na mfaransa/ mbelgiji ni dhaifu
🇨🇩 FRN | HATUA MOJA ZAIDI KUELEKEA UJENZI UPYA WA TAIFA!
FRN imepokea kundi la kwanza la magari ya Toyota Land Cruiser Series 70, aina ya magari ya kijeshi yenye mfumo wa kuendesha magurudumu manne (4x4), yaliyokusudiwa kwa ajili ya ARC, jeshi jipya la Kongo. 🪖🚙
Magari haya imara yameundwa kwa ajili ya usafirishaji na safari katika maeneo yenye ardhi ngumu na barabara zisizopitika kwa urahisi.
🇨🇩 Ujenzi upya wa taifa unatekelezwa pia kwa vitendo. Mbele kuelekea taifa lenye nguvu na mamlaka kamili ya kujitawaView attachment 3696399ala
frn
Vita ni biashara ya matajiri,Waasi wanapata hela wapi?
Ee ndo unakuta Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Mauritania, Guinea etc lakini nchi iliyopinduliwa mara nyingi Africa ni Ghana ikifuatiwa na Nigeria ambazo zimetawaliwa na Great Britain (huko wale Juntas wana shule na exposure pia)Na nyingi zilitawaliwa na mfaransa
Nadhani Mombasa maana Ruto aliitambua rasmi AFC na hata mkutano wao wa kwanza kuzindua vuguvugu hilo walifanyia Nairobi.Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Kwa East AfricaHapana huku kwetu majenerali wengi hawana shule kubwa zaidi ya military academy na wanakuwa bribed sana na watawala. Kwa East Africa kidogo Uganda ndo kulikuwa na kikundi cha uasi ambacho hakikufanikiwa refer Joseph Kony.
Wanajeshi walioenda kujifunza/kusomea ufaransa katika kozi zao kuna mtaala wa namna ya kufanya mapinduzi, inawezekana ndio ikawa chachu kwenye ukanda wa Afrika magharibi.Ee ndo unakuta Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Mauritania, Guinea etc lakini nchi iliyopinduliwa mara nyingi Africa ni Ghana ikifuatiwa na Nigeria (huko wale Juntas wana shule na exposure pia)
Congo kiramani iko Africa ya Kati, ila majuzi tu ndo wamejiunga na EAC. Basically Kiramani Congo haiko Afrika mashariki, bali imejiunga na Jumuiya ya Africa Mashariki.Kwa East Africa
umeandika nini kwani kongo iko wapi?
Wanakusanya mapato ya maeneo yote ambayo AFC/M23 wanayotawala. Pia kabila ni "trillionaire" mtu ameiba pesa na dhahabu tokea miaka ya 90 nadhani hayo magari ni chenji tu ya mboga.Waasi wanapata hela wapi?
Dar es Salaam.Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
vipimo vyako umepimia wapi????????????????/russia iko asia au europe??????????//Congo kiramani iko Africa ya Kati, ila majuzi tu ndo wamejiunga na EAC. Basically Kiramani Congo haiko Afrika mashariki, bali imejiunga na Jumuiya ya Africa Mashariki.
si KWELI Puuzieni hiiWanajeshi walioenda kujifunza/kusomea ufaransa katika kozi zao kuna mtaala wa namna ya kufanya mapinduzi, inawezekana ndio ikawa chachu kwenye ukanda wa Afrika magharibi.
Roho ya paka hizo Toyota, kama haujawahi kuimiliki fanya hima hautojutia.Naona toyota wazee wa dili chafu, haiwezekani kila vita na military karibu zote duniani ni wao tu
mtu hutjui magari yanapita bandari gani ujue courseWanajeshi walioenda kujifunza/kusomea ufaransa katika kozi zao kuna mtaala wa namna ya kufanya mapinduzi, inawezekana ndio ikawa chachu kwenye ukanda wa Afrika magharibi.
terrain ya congo ni habari ingine kabsa,ni kama goma haina connection ya road na kinshansaRoho ya paka hizo Toyota, kama haujawahi kuimiliki fanya hima hautojutia.
An off road car and an all-weather car designed for rough terrain and bad weather.
TanganyikaHuwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Dar es Salaam.
Sijapima, ila ki jografia Congo ni Africa ya kati,vipimo vyako umepimia wapi????????????????/russia iko asia au europe??????????//
Ngoja nikumbushe kidogo mwaka 2008 Pirates wa kisomali waliteka meli moja ya Ukraine, hiyo meli ilikuwa imebeba silaha nzito za kijeshi zikiwemo Vifaru 33 vya kirusi.Nyaraka zinasemaje?, unapitisha siraha kwenda kupindua serikali ya nji nyingine?..hao wafadhili watakuwa wana nguvu sana.