Kishimba azidi kutamba,lembeli azidi kunywea

BASHITE

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
11
Reaction score
2
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
 
hahahaha acheni ujinga mbona anatoa ahadi za mgodi wa buzwagi anasafiria nyota ya mgodi
 
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.
 
Sasa kama serikali ya CCM imeshindwa kuyaona na kuyatatua hayo, yeye nani ndani ya CCM?
Hayo matatizo unayo yazungumzia yapo Tanzania nzima. MOFO..!!!
 
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"

Huyu anayesema atajenga kilomita 20 za lami na wajinga Kama wewe mkashangilia hizo hela za kujenga lami atatoa mfukoni kwake?
Hivi kwa nini watu mnashindwa kuelelewa kuwa Mbunge hatoi hela zake mfukoni Bali anafuata budget ya serikali!
 
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.

Kazi hata ukienda maeneo fulani pale Mwananyamala, kuna kabila fulani hivi nalo linapiga kazi. Mae......!!!!
 
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.

Lembeli anajua kabisa watu hawamtaki basi tu, akaona asafirie nyota ya ukawa lakini wana Kahama hatudanganyiki, Lembeli out....:
 
Huyu anayesema atajenga kilomita 20 za lami na wajinga Kama wewe mkashangilia hizo hela za kujenga lami atatoa mfukoni kwake?
Hivi kwa nini watu mnashindwa kuelelewa kuwa Mbunge hatoi hela zake mfukoni Bali anafuata budget ya serikali!
Ndugu yangu usidandie meli kwa mbele Kishimba namfahamu ni mtu wakujitolea tangu siku nyingi ni mzalendo wa kweli alijenga shule ya sekondari kwa ghalama zake na akikabidhi serikali bila fidia niambie nani anaeza akafanya hivo mwingine.
Sio hivo tu zamani alikuwa anakopesha mali wafanyabiashara karibu kanda ya ziwa yote uliza kama nasema uongo kwa Kahama Mzee wa nyeti za kuku hapati kitu ajipange tena
 
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.

Kishimba hata angelikuwa Bill Gates,kwa kuwa yupo CCM hawezi kukubalika.CCM ni OUTCAST!!
 
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"

Lemberi ni mbunge wetu
 
Hivi tu ndo umemaliza kumnadi Kishimba?
 
Watu hawajamjua tu Lembeli ni kahuni fulani tu wala siyo kiongozi wa maana hata chembe.
 
Kwa uzoefu wng mdogo km 1 ya lami inaweza kugharimu 900Mil hadi 1Bil.Ss hizo pesa yy kama mbunge atatoa wp???? Tuwe makini jmn.
 
Back
Top Bottom