Kuweka hela kwenye bahasha wanafanya wazaramo bhana,,,peleka posa na wazee kwa heshima,we unaweka hela kwenye bahasha na haitafika hata kai mbili,,na kwa nn kuwe na kishika uchumba,kwetu hakuna kishika uchumba,unatua wazee kwenda kuongelea posa,wakikubalina fresh unalipa kama huna yte unalipa ulicho nacho then mambo mengine yanafuata