Kishika uchumba ni shilingi ngapi?


Aiseeee jamaaaa c alionekana
Muongo sana cjui kama
Alikubaliwa
 
Peleka buku5

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Bravo 11 ukiwa na shida na simu yako ni pm me ndio mchawi wa hiyo simu .Plz

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana unataka upeleke
50 ndo iliyokutunzia jiko
25+years
Hapo una confuse kati ya kishika uchumba(Barua) na Mahari,
Kishika uchumba ni ile pesa inayowekwa kwenye barua ya kueleza nia yako(not even neccessary kuweka pesa ndani)

Baada ya kujadiliwa barua inarudishwa kwa kiwango cha mahari, hapo sasa ndio mziki wake sie hatuingiliiii, lol
 
Nimekuelewa mkuu laƙn mtu anaweza ela kuanzia 50000 kama motisha tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
WW KULA MZIGO KWANZA WENYEWE WATAKUPATIA MCHUMBA WAKO
hujala unawawekea buku 5 au milioni 5
mtoto asipokupenda akaendelea kubanduliwa si utajingonga/
kishika UCHUMBA ni kwa mababu na mabibi zetu si leo wakati wa mitandao
 
wagogo
buku jero

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
buku hamsini tu ingawa huku uswazi unaweza anza na thelathini
 
Haa haa ila kwa uswa huu
Kishika uchumba hakifai
Kuwa chin ya laki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…