Jibu hoja acha kurukia vitu usivyo vijua wewe dada! Hangaika na Lissu wako huko! Usifikiri tumeshasahau mambo yako!Ni halali kukusanya wajumbe kutoka Tanzania nzima kumpigia mwenyekiti kura ya ndiyo pale Dodoma.
Jibu hoja nani atasaini Kiapo cha Lissu??Mwenyekiti wako wa CCM mbona yeye alitafutiwa wadhamini husemi? wewe mambo ya Chadema yana kuhusu nini?
fomu alichukua mwenyewe personally na kurudisha alirudisha mwenyewe personaly na kusaini kiapo personally kuwa contents zote kwenye fomu zake ziko okMwenyekiti wako wa CCM mbona yeye alitafutiwa wadhamini husemi? wewe mambo ya Chadema yana kuhusu nini?
Wewe ni KM wa Chadema au ni tapeli fulani?Jibu hoja nani atasaini Kiapo cha Lissu??
Mambo gani unayoyakumbuka?Jibu hoja acha kurukia vitu usivyo vijua wewe dada! Hangaika na Lissu wako huko! Usifikiri tumeshasahau mambo yako!
Fomu za ugombea unatakiwa kusaini mbele ya mpokea fomu uki certify mbele yake na mashahidi wakiwepo physically sio digitally ENEO LA KIAPO KUWA YOTE YALIYOMO NDANI YA FOMU NI KWELI NA NI YAKO MWENYEWEDunia hii ya leo, wewe haujawahi kujaza fomu online, na kuweka digital signature?
Kweli wewe,unadhani Ni rahis kiasi hicho.Jaribu hata wewe kuweka Hilo pingamizi kwa Mwanasheria Bora Afrika mashariki na Kati.Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kawanza ataweza kumuwekea Lissu pingamizi na akamshinda. Watchout!!!
Jibu hoja acha kurukia vitu usivyo vijua wewe dada! Hangaika na Lissu wako huko! Usifikiri tumeshasahau mambo yako!
Ni msaliti wa nchi ndiyo maana watz wanamuongelea sana!Majibu rahisi ni haya;
1. Kama ni sheria na katiba kutaka hivyo, maana yake itafanyika hivyo kwa mujibu wa sheria na katiba hiyo. Na kwani tarehe 19 imefika...??
Mbona Lissu tu wakati watia nia tuko 10? Mna nini na Lissu nyie?
Mchakato utafuta taratibu zote za kisheria na kikatiba kisha tukutane field....
Ni msaliti wa nchi ndiyo maana watz wanamuongelea sana!