A
Anonymous
Guest
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
Mkuu wewe ni mdau wa vyombo nini , comments zako nyingi zinasadifu hivoPumbavu acha kuwaongelea walipa kodi kwa usingizi wako wa kimagumashi , kwanza unalala una pesa ngap ?
Watu wa vyombo tunalipa kodi bwashee hapa nimetumia laki 3 mpka sasa hauoni nina tija ya kuchangia uchumi kuliko huyu mbwiga anaelala kizembe tu🤔Mkuu wewe ni mdau wa vyombo nini , comments zako nyingi zinasadifu hivo
Hizo ndio kazi za kamati za ulinzi na usalama kuanzia ngazi za mtaa, kata nk lakini hawchukui hatua. Ofisi za biashara kabla ya kutoa leseni hutakiwa kukagua na kujiridhisha na pia kutoa elimu kwa waendeshaji. Lakini hakuna msaada. Si huko kwenu, maeneo mengi usiku kelele za music wa harusi au walokole ni tatizo.Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
Aiseee!!!Pumbavu acha kuwaongelea walipa kodi kwa usingizi wako wa kimagumashi , kwanza unalala una pesa ngap ?