Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu.
Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
Anonymous
Thread
kupitia
magu
maji
mkoa
mradi
mwanza
serikali
sima
wilayawilayayamagu
wizara
wizara ya maji
Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za ruzuku kwa mfano mbolea nyingi anatuuzia za ruzuku kwa bei ya juu na hata mbegu za mahindi ukikwangua...
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza.
Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
Katibu wa NCCR Mageuzi Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Robert Busumabu na mwenzake Mwenyekiti wa Vijana wilaya hiyo, Mathayo Ndalahwa wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakieleza sababu za wao kuhama.
Mara baada ya kupokelewa na Kamishna wa ADC Mkoa wa Mwanza, Ramadhani...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza. Kikao hicho kimefanyika Ofisi za CCM, Magu kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Komredi Enosy Ndobheji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.