A
Anonymous
Guest
Highbury Bar iliyopo Tabata Mawenzi imekuwa na kawaida ya kupiga muziki usiku kucha kwa sauti ya juu sana na hivyo kupelekea usumbufu kwa wakazi waishio jirani na bar hii.
Pamoja na viongozi wa Serikali ya Mtaa kupelekewa malalamiko juu ya kadhia hii lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.
Hivyo kupitia jukwaa hili tunaomba mtusaidie kupaza sauti ili kuondoa kero hii ambayo imekuwa kadhia kubwa sana.