Kisauzi Zaidi

Kisauzi Zaidi

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
IMG-20160806-WA0019.jpg
 
napata picha mateja wetu wa buguruni watakavyoipenda hiyo gari
We unazungumzia mateja tu! Jana mida ya jioni pale Tazara gari la maji ya Azam limepita na kuangusha baadhi ya chupa za maji basi ilikuwa balaa pale nilidhani kuna mwizi anapigwa au mtu kagongwa na gari kwa jinsi watu walivyokuwa wanagombania pale kati.
 
Back
Top Bottom