Uzalamo tu hautoshi mkuu! Ungeza na wale wa upande wa MohamedWazaramo lini wataachana na haya mambo ya kipuuzi, ndiyo maana hawaendelei..
Hatari kubwa ni kujihadhariWalimu! Mnapopangiwa kwenye vituo vya kazi hasa vijjni kueni makini sana maana kuna baadhi ya vijiji walimu ndio wenye vipato zaidi ya wengine, kwahiyo ::-
-msijione bora kuliko wenyeji.
-msiwachape saana watoto wa watu.
-waheshimuni saana wazee wa vijiji.
Vilevile muheshimiane, mshirikiane, na mpendane nyinyi wenyewe katika kazi, maana kuna baadhi ya walimu pia sio watu wazuri.
Ni ushauli tu.
Umeongea kweli mkuu. Wawapeleke wazaramo huko wamalizane wenyewe kwa wenyewe.wapelekwe wazaramo wenyewe wa huko mbona walimu wapo unampeleka msukuma huko wakati akina shabani musa wa Mtukunani au panga la merumani wapo
Mkuu hutakiwi kuogopa pale unapoamka umechanjwa chale mwili mzima na chatu mwekundu kakuzunguka mwili mzima????? Usiongee kwa vile hayajakukuta. Mimi enzi za utoto nilikuea darasa la nne niliamka nimechanjwa chale kwenye vidole vya miguu enzi hizo ilikuwa ndo mara ya kwanza kuja pwani (chalinze) nikitokea kijijini Mkoani Iringa. Kuna watu hawaamini mambo haya lakini kiukweli mambo haya yapo, kama hujui waulize wanaojuaKukutana na magumu kama haya ni kawaida,ni moja ya changamoto katika maeneo ya vijijini,mwalimu hutakiwi kuogopa,jamii ya hapo ipewe elimu kuhusu ubaya wa vitendo hivyo.
Naomba Mwenyezi MUNGU aruhusu japo kwa miezi sita uchawi ufanye kazi mwilini mwako halafu uje na kauli hiyo tena. Vinginevyo labda useme Mwenyezi MUNGU pia huamini kama yupo japo kutokuamini kwako hakufanyi yeye asiwepo.SIAMINI KABISA ETI ISHU YA UCHAWAWI UMEFUNGA MLANGO NAKULOKI WAKAINGIA HAPANA. EITHER NI WAHUNI TUU WANA MASTER KEY NA CHLOROFORM. AMA NI STRESS NA DEPRESSION ZA WALIMU ANGALAU WAMEPATA LIKIZO. LAKINI KUSEMA KUROGWA HAMNAGA IYO MAKITU NI WAHUNI TU WALIWAWINI HAO WALIMU KISAIKOLOJIA
Sheria hiyo bado ipo, Hoja ni je mchawi unamtambuaje?? Bila shaka sheria hiyo ipo lakini ni ngumu kutekeleza kwasababu ya ushahidiwashukuru. Neema Bwana Yesu vinginevyo sheria ya Musa ilisema "Usimwwache mwanamke mchawi kuishi"
kwa sheria ya Musa wangeuawa.
Wabadilike waokoke waachane na uchawi.
Mkuu kisarawe nomaWazaramo lini wataachana na haya mambo ya kipuuzi, ndiyo maana hawaendelei..
[emoji102] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Hii Ndio Dawa Pekee, Coz Lazima Watakuwa Wanawajua Na Hata Kama Hawawajui Suluhu Wanayo.Hapa ndo utaona ni kwa namna gani viongozi wa jawa walimu hasa DEO alivyo na kuweza kuhandle hiyo problem properly.
Iliwahi tokea mahala fulan michezo kama hii ya kucheza na walimu miaka ya 90 hvi niliipenda ile approach;
Mosi, DEO alifuata walimu wake wote shule ikabakia na wanafunzi bila mwalimu wakahamishiwa shule nyingine
Pili, waliwekewa embaggo hakuna mwanafunzi kuhama wala kuhamia shule ile yenye tabia hatarishi
Tatu, walipewa muda tu wa kuwatafuta watuhumiwa.
Hiyo ilisaidia sana masna wazee wenye busara na makini wa kijiji walijiunga wakaenda kwa DEO kumwomba radhi na kuahidi tabia kama hiyo haitorudia na kwamba wameshakanyana vya kutosha. Kilichofuata ni kuanza kupelekewa walimu wachache kwanza kwa gharama zao ile tabia ilikoma kijiji kile waliwaheshimu walimu maana walikuwa wameonja joto ya jiwe.
Sasa unakuta afisa elimu amelegea legea tu nani atawaheshimu staffs wako?
Yaani hawa mnawatengenezea machenism nzur ya kuwaonesha wakati wao wanaona walimu wa nni wenzao wanasema watawapata lini.
Tabia za kijinga kbsa hzi.
Kana Mura ubarikiwe kwa Ushauri Msuri TataWalimu! Mnapopangiwa kwenye vituo vya kazi hasa vijjni kueni makini sana maana kuna baadhi ya vijiji walimu ndio wenye vipato zaidi ya wengine, kwahiyo ::-
-msijione bora kuliko wenyeji.
-msiwachape saana watoto wa watu.
-waheshimuni saana wazee wa vijiji.
Vilevile muheshimiane, mshirikiane, na mpendane nyinyi wenyewe katika kazi, maana kuna baadhi ya walimu pia sio watu wazuri.
Ni ushauli tu.
Utaliwa kiboga mpk nchonyo uote sugu,.nilitaka nkachukue site hapo kisarawe nime Ghairi.
haa haa nouma sana mkuu, sitaki tena kupasikia.Utaliwa kiboga mpk nchonyo uote sugu,.