Kisamvu Cha Nazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisamvu Cha Nazi

Discussion in 'JF Chef' started by X-PASTER, Sep 17, 2012.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mahitaji
  Kisamvu ....................................................... 2 vikombe
  Kunde mbichi zilizochemshwa .............. 1 kikombe
  Kitunguu ........................................................ 1
  Nazi nzito iliyochujwa ................................ 1 vikombe
  Chumvi........................................................... Kiasi

  Namna Ya Kutayarisha/Kupika
  Weka kisamvu katika sufuria, katia kitunguu, tia chumvi, maji kidogo acha kichemke.
  Huku ikichemka mimina kunde mbichi zilizochemshwa acha zipikikie kidogo mpaka kisamvu kikaribie kukauka na kunde kuiva.
  Mimina nazi nzito punguza moto acha ichemke kidogo, mimina kwenye bakuli tayari kwa kuliwa. (Wengine uweka sukari kidog kuongeza radha)
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ndaga mkulu! tutajaribu, inaonekana ipo pouwa!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sasa namimi ndio naitikia vipi... Ndaga fijo mwanafyale... au...?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  utamu wake hii kitu kilale afu kiliwe kesho yake balaa tupu na raha duniani yaani wewe acha tu..
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye italics please wait while loading...
   
 6. G

  GTesha JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa unaweza ukaongeza na nyama na nyanya chungu pia, unachemsha nyama pembeni then ikisha kwiva unaweka kwenye kisamvu chako alafu una unga kama kawaida kwa nazi weeeeeeeeeeeeeeeee! utakula mpaka ujute ama pia waweza kuweka nyanya chungu na kabla hujaweka nazi weka tui lako la karanga.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umesahau vitunguu swaumu kuleta harufu murua mkuu
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ndaga fijo yatosha mkuu!! Hiyo mwanafyale na mimi ngoja nikae kimya kwanza, maana na mie nadandia tu!
   
 9. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ahsante...
   
 10. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mashalla,umenigusa. Wewe kweli wajua tamu ya kisamvu! Yummy!
   
 11. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kisamvu cha karanga bwana yapaswa kilale halafu kiliwe kwa mkono na wali
   
 12. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hahahahaha, Secretary umenikumbusha mbali sana!Kweli wajua utamu wa kisamvu.
   
Loading...