[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kuchele! Na hapo hujafikisha hata miezi 4 ndani ya JF! Nyie ndio ambao hufa kwa kihoro
Cha kufurahisha ni kwamba nimekufanya usome na uchangie! Wasiopenda udaku wamepita kimya kimya
Sent using
Jamii Forums mobile app