Kisa nini? Macho kodo!?

Wewe mwenyewe lisura lako linaonekana libaya maana pamoja na kuweka miwani linaonekana kituko tu. Unakimbilia udaku wa kikekike ili kuongeza idadi ya threads?
kweli kuchele! Na hapo hujafikisha hata miezi 4 ndani ya JF! Nyie ndio ambao hufa kwa kihoro
Cha kufurahisha ni kwamba nimekufanya usome na uchangie! Wasiopenda udaku wamepita kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakodoa kodo........πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…