Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Mida anatuma msg nimetoka kulipa kodi bank yani alichelewa kidogo Sana mkuu,halafu siwezi kuingia madeni kisa mchepuko akizingua atambae zake mkuuKama elf.30 inakushinda tena hata kwa kukopa nakushauri achana na mambo ya mademu kwa sasa maana inaonekana hata rafiki mwenye pesa huna. Kijana tafuta pesa kwanza ukiwa financially stable mapenzi utayaona raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mida anatuma msg nimetoka kulipa kodi bank yani alichelewa kidogo Sana mkuu,halafu siwezi kuingia madeni kisa mchepuko akizingua atambae zake mkuu
Hahaha eti ya viua siatafatwa na nyukiMwenzako kashapanga hapo akanunue skin jeans ya viua, na crop top ,jumamosi wakajirushe na shoga zake[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe unamwambia habari za kutokua na hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! kama huwezi kudate watoto nakushauri waache
Mwenzako kashapanga hapo akanunue skin jeans ya viua, na crop top ,jumamosi wakajirushe na shoga zake[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe unamwambia habari za kutokua na hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! kama huwezi kudate watoto nakushauri waache