Kisa cha shemeji yangu kilipofikia

Kisa cha shemeji yangu kilipofikia

Hakikisha mdogo wako anamfanya kutokua na amani, akienda jikon anae, akirudi sebulen anae hata angeenda chumbani. Ila akimkubali tu, weka ushahidi wa mazingira then fukuza wote. Baadae utamshukuru mdogo wako kwa kaziyake
 
Nataka nimwache but yeye ndo hataki. Naiona picha ya tukio litakalofata mke wangu akija.... ndo inanisababisha nimwache. But she is very beautiful
Mkeo ana makosa pia kuwaacha hapo yeye yupo Likizo ya uzazi.
Vishawishi ni ving sana.
Kuna jamaa namjua alimchalaza House Girl wake kipindi hikohiko mke ameenda kujifungua.
Na ndugi walimuonya wakamwambia usimuache mumeo na dada wa kazi nenda nae,yeye akabisha
 
Hebu tuje tuanzishe thread ya mikusu , mitowo, misambarawe na miduma na ulanzi. Umenikumbusha mbali mdau wangu. Vitu adimu hivyo

haaaaaaaaaaa umeitamka kihehebkweli kweli eti misambarawe !hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkeo ana makosa pia kuwaacha hapo yeye yupo Likizo ya uzazi.
Vishawishi ni ving sana.
Kuna jamaa namjua alimchalaza House Girl wake kipindi hikohiko mke ameenda kujifungua.
Na ndugi walimuonya wakamwambia usimuache mumeo na dada wa kazi nenda nae,yeye akabisha
Kumbe siko alone
 
Next time utajipima oil kabisa.

Heri ya Krismasi
 
Habarini wapendwa!!!
Kwa kipindi kilichopita nilitoa Mada kuwa nilianzisha mahusiano na dada yake na mke wangu. Wengi walinikejeli na matusi, wengine wakanipa ushauri mzuri ambao umenisaidia.
Maana ilibidi nimchane live kuwa mwisho utakuwa sio mzuri na itakuwa aibu ambayo haijapata kutokea katika familia zetu na hatujui sehem tungekimbilia. Alichonijibu kuwa ningemwacha angemwambia mke wangu kuwa nilimlewesha kupita kiasi na nikambaka. So ilibidi niendelee na mahusiano kwa muda kidogo ili kuweka mambo sawa kabla mke wangu hajarudi kutoka maternity.
Kutokana na uzuri wa shemeji hata mimi ilinipa wakati mgumu kumwacha.

Mbinu niliyotumia ni kuwa wiki ilopita baada ya kumaliza kufanya mapenzi nikajifanya nimepandisha mashetani. Nikajirusha chini ya kitanda na kufanya vituko vichache... mwanzoni alidhani kama masiara lakini nilikomaa ili aamini. Alitoka chumbani mbio na kwenda sebuleni, baada kama ya dk 5 alirudi kuchungulia. Nilikuwa nimetulia alipokuja kuniuliza "baby vipi" nikamjibu poa. Akaniuliza tena "umepatwa na nini"? Nikamwambia mbona nipo vizuri sina tatizo, akawa ananikumbusha yaliyotokea. Nikamwambia acha masihara......
Kesho yake mke wangu alinipigia kuniuliza una tatizo lolote, nikamjibu mbona niko safi. Akaniambia kuwa dada yake alinisikia napiga kelele chumbani. Nikamjibu labda nilikuwa naota tu.

Shemeji hakukoma, hivi juzi alitaka penzi. kabla sijaanza mapenzi nikanyanyuka nikajifanya mwili umeishiwa nguvu, nikashuka sakafuni. Ilibidi nijikojolee kwa makusudi ili ajue siko poa hata kidogo. Kwani kujikojolea sh ngapi bwana? Hapa nakimbizana na muda wa kurudi mke wangu kama wiki 3 zijazo. Alipoona hivyo alivumilia kuona mwisho wake. Nikachenji sura alitoka nduki. Alirudi baada ya mda kidogo akakuta nipo safi ila ndo ivo nimejikojolea. Nikamuuliza nani kanimwagia maji? Hakujibu

Sasa sijui kama amejua ni kweli nina matatizo au namchezea akili ili aniache?
Nawasilisha
Dah.... Bonge LA jiniaz[emoji87]
 
Back
Top Bottom