Kisa cha Nyani na Mjusi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa cha Nyani na Mjusi.....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bushbaby, Oct 15, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Huenda ilishawahi kuwekwa hapa....sio mbaya tukajikumbusha....

  [h=5]Siku moja Nyani alikuwa kakaa kijiweni
  anavuta bangi. Mjusi akaja akampa 'Hi',
  akaomjoin na kuomba puff, nyani
  akamuonya kuwa ile bangi kali ni kipisi
  cha kutoka Makete. Mjusi akapokea
  ... wakaanza kuvuta kwa raha zao. Mjusi
  akawa hoi kwa stimu akamwambia
  nyani,'Nasikia koo limekauka ngoja
  niende mtoni nikanywe maji'. Mjusi
  kufika mtoni kwa kuwa alikuwa na
  stimu nyingi akatumbukia mtoni.
  Mamba aliyekuwa pembeni akamwona
  akawahi kumuokoa na kumtoa nje ya
  maji. Mamba akamuuliza mjusi
  imekuwaje kutumbukia mtoni kizembe
  vile, mjusi akajibu, 'Nilikuwa na nyani
  tunavuta bangi nikasikia kiu cha ajabu
  nikajikuta kwenye maji' mamba
  akasema, 'Hebu twende kwa huyo
  nyani'. Wakamkuta nyani ndo
  anamalizia kile kipisi hata macho tabu
  kufungua. Mamba akamuita, 'Oya'.
  nyani akafungua macho alipomuona
  mamba akashtuka sana,'Mshikaji
  umekunywa maji debe ngapi umerudi
  mkubwa hivyo?.......

  [/h]
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Weed ni noma
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi sana kaka.
   
 4. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u're so creative
   
 5. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kutukumbusha.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ganja bana
   
Loading...