Kisa cha Nelson Chisale na Simba wa Mokwalo…!

Kumbe majaji wa Tanzania wapo kila sehemu.
Hili la ubaguzi wa rangi litachukua muda mrefu sana kufutika SA.

Asante Muchambuzi kwa collection zako.
 
Yani kama kawaida yao wazungu wameendelea kutamba katika nchi za africa na kuonekana miungu watu. Wazungu wameendelea kuwa nyanyasa waafrica kila leo, ni waafrica wachache ulipwa vizuri wanapo fanya kazi na wazungu. Na manyanyaso haya hayato kwishwa mpaka hapo serikali za kiafrica zitakapo hacha kuwakumbatia.

Big up mtambuzi
 
ahasante sana mtambuzi kwa kuendelea kutujuza mambo ya sheria.!
Keep it up
 
nashangaa kuambiwa eti kesi hukumu ilichelewa kusomwa kwa saa 1:30 kumsubiri kaburu amalize kufunga ndoa na mwanamke waliyekutana naye gerezani, it means tayari alijua atatoka tu au ndo kuichezea mahakama?
 
Habari ndeeefu, afu mbona sioni uhusiano wake na jukwaa hili,au kuua mtu,kushtakiwa,kuliwa na simba n.k ni Mahusiano na mapenzi? Kizunguzungu ati!

Hapa ndio panafaa Jukwaa hili linatembelewa na wengi sioni tatizo ikikaa hapa kubadilisha vionjo...
Hilo jamaa lilitakiwa liozee jela sio kutolewa
 
mbalu (mwangaluka)
Msalimie sana mwambie na mimi nimeshikwa na majukumu ya ulezi hapa nyumbani, mpaka likizo yangu iishe nitakuwa nimeshika adabu.......mama Ngina kajipumzikia zake........................LOL
 
Last edited by a moderator:
mkuu umekuaga M.p.e.m.b.a leo tuombe KING`ASTI asipite huku.
 
mbalu (mwangaluka)
Msalimie sana mwambie na mimi nimeshikwa na majukumu ya ulezi hapa nyumbani, mpaka likizo yangu iishe nitakuwa nimeshika adabu.......mama Ngina kajipumzikia zake........................LOL

Nkaluka bha'bha Mtambuzi e mhola jako jashikaga - habari ya asubuhi njema baba mtambuzi salamu zitafika.
 
Last edited by a moderator:
Duh, mwenye pesa sio mwenzako. Anyways thank you Mtambuzi, story was great, inafundisha sana.:clap2:
 
Inasikitisha sana.. Mara nyingine kwa mifumo ya sheria ya aina hii, afadhali tu kutafuta namna ya kulipa kisasi halafu watu mnaendelea na maisha kama kawaida...
Asante Mtambuzi.
 
Mtambuzi salam zako zilifika nashukuru kwa kunikumbuka. Kisa hiki nilianza kukisoma jana ndo nimemaliza nashukuru sana kwa simulizi zako za kesi za kiuchunguzi, ama kweli dhambi ya ubaguzi ni mbaya kuliko ugonjwa wa ukoma.
 
Last edited by a moderator:
good story anyway...nimempa na mke wangu aisome hii....
 
Ana bahati msenge yule ningekuwa mpwa wa Chisale ningemtafuta namapanga uraiani mwanaharamu mkubwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…