Kisa cha nabii Daud na Funzo kwa viongozi wetu

Kisa cha nabii Daud na Funzo kwa viongozi wetu

ngurutu

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
54
Reaction score
51
Hiki kisa kinapatikana katika Qur an sura ya 34(swaad) ..hivi mshawahi kusikia habari za watu wawili walogombana?...Siku moja Daud akiwa amekaa ghafla wakatokea watu wawili hajui walipo tokea isipo kuwa walikuwa kwenye mzozo mzito sanaa na walikuwa wakiomba daudi awasuruhishe,mmoja ni muongeaji sana na kamzidi mwingne kuongea,basi daudi akampa nafasi huyo alokuwa akiongea sana nafasi ya kueleza.."huyu ni jamaa yangu na tumekuwa marafiki kwa muda lakini hyu jmaa ana ngamia wake 99 mimi nina ngamia 1 chaajabu analazimisha tuunganishe hyo biashara,lakn mimi nina mashaka sana inakuwaje mali yake ni kubwa sana alazimishe nishirikiane nae?hapa kuna kitu.."baada ya kusikiliza maelezo hyo daudi akatoa uamuzi kuwa usishirikiane nae haiwezkn wewe una ngamia mmoja mtu mwenye ngamia 99 akulazimishe mshirikiane.Baada ya kutoa uamuzi ule wale watu 2 wakaondoka zao ,baada ya kuondoka tu Daud akashtuka kuwa wale watu ni malaika na walitumwa kumjaribu,na akakumbuka kuwa aliskiliza upnde mmoja ,hakumskliza yule kijana wa pili.
Basi daud akaanguka kusjudu na kumuomba msamaha sna mwenyz na mwenyz mungu akamsamehe.
FUNZO
1.hakuna binaadamu alo kamilika hta kma atakuwa na elimu kiasi gani
2.Kila mtu ni mwenye kukoseà lakn mkosaji alo bora ni yule mwenye kuomba msamaha
3.Mungu anatupa uongozi ili atujaribu na kuona jinsi gn utaweza kujthd kadri ya uwezo wako
4.usidharau mtihani unao poewa katika uongozi huwezi jua uzito wa mtihani huo
MUHIMu
Tofauti iliyopo baina ya bnadamu wa zama hzi na zama zilizo pita ni uwezo wa kukubali kosa na kutubu,skuhz tumekuwa hatukili makosa tulo nayo na kutubu hususan kwa viongozi...J tano njema
 
Hata kama hamna binadamu aliyekamilika ndio uandike habari yote hiyo bila ya kuweka aya?
 
Story ya 2018 comment ya 4. Ingekuwa ya udaku tungekuwa page ya 80
 
Kuna mapungufu mengi kwenye stori yako lakini kikubwa umeeleweka...

Hiyo surat Swad ni sura ya 38 wala siyo 34 pia wanyama waliotajwa humo ni kondoo majike wala siyo ngamia

ubarikiwe

Amin
 
Back
Top Bottom