kisa cha Lowassa ni kama cha Chief Saruwati

Kelvin X

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,940
Reaction score
2,402
nyerere alimwa mbia chief saruwati na mgombe mwenzake kutoka ccm kwamba atakae wahi kufika dodoma ndo atakua mbunge wa mbulu alafu baadae akampa mgombea wa ccm land rover ili awahi dodoma. wambulu wakachangishana na kuuza ngombe wakamkodia chief saruwati ndege ya mzungu. nyerere alipo mkuta saruwati asubuhi mlango wa ikulu ndogo ya dodoma hakuamini. saruwati akawa mbunge na nyerere hakuwahi kukanyaga mbulu tena. mafuriko haya zuiliki kwa mkono jamani
 
hahaha nimeipenda hii kumbe na Mwl. nae alikua na figisufigisu
 
Pole yenu mnaotegemea nyumba ya barafu. Lowasa ni mwepesi sana
 
Nchi anaenda kukabidhiwa jembe la kisukuma muone msukuma anavyoinyoosha nchi. Nchi imepata kiongozi.
 
nimeipenda sana hii
kama kuna mwenye link inayomhusu chief sarwat tunaiomba tafadhali.
hilo la kuchangishana naona kaskazini linamuamko sana.
napenda sana kujua kuhusu historia ya kaskazini.
 
nyerere alimwa mbia chief saruwati na mgombe mwenzake kutoka ccm kwamba atakae wahi kufika dodoma ndo atakua mbunge wa mbulu alafu baadae akampa mgombea wa ccm land rover ili awahi dodoma. wambulu wakachangishana na kuuza ngombe wakamkodia chief saruwati ndege ya mzungu. nyerere alipo mkuta saruwati asubuhi mlango wa ikulu ndogo ya dodoma hakuamini. saruwati akawa mbunge na nyerere hakuwahi kukanyaga mbulu tena. mafuriko haya zuiliki kwa mkono jamani

Aisee ni chief sarwatt siyo saruwati mkuu
 
Nchi anaenda kukabidhiwa jembe la kisukuma muone msukuma anavyoinyoosha nchi. Nchi imepata kiongozi.
Mimi nilijibu hivi;
Karne hii bado kuna watu wanaamini katika usukuma, unyambo, uhaya, ukala....
wewe kama kichaa unakuja na hii
Mbona hujazungumzia uchagga BOT na TRA?
Elimu ya shule za kata ni hatari kubwa sana, imewavua kabisa vijana uwezo wa kufikiri na kujenga hoja! Unakurupuka kama kichaa hata hujui unaandika nini! soma hoja ya awali kwanza.
 
Story ya Chief Sarwatt ni ya kweli ila ukweli sio kama ulivyoelezwa, bali watu wa Mbulu, walimpenda Sarwatt, TANU haikumsimamisha, agagombea kama mgombea binafsi dhidi ya mgombea wa TANU, akachaguliwa na kuibwaga TANU!.

Nyerere akashauri CCM imsimamishe chaguo la watu, Chaguo la watu ni EL, CCM haikumsimamisha, hivyo ni sasa ni kweli CCM inapiga chini kwa style ya Sarawatt!.

Yaani CCM imejikaanga kwa mafuta yake yenye.e!.

P.
 
nyerere alimwa mbia chief saruwati na mgombe mwenzake kutoka ccm kwamba atakae wahi kufika dodoma ndo atakua mbunge wa mbulu alafu baadae akampa mgombea wa ccm land rover ili awahi dodoma. wambulu wakachangishana na kuuza ngombe wakamkodia chief saruwati ndege ya mzungu. nyerere alipo mkuta saruwati asubuhi mlango wa ikulu ndogo ya dodoma hakuamini. saruwati akawa mbunge na nyerere hakuwahi kukanyaga mbulu tena. mafuriko haya zuiliki kwa mkono jamani

Kwa maana ingine jk ataama nchi el akingia ikulu oct.
 
Nchi anaenda kukabidhiwa jembe la kisukuma muone msukuma anavyoinyoosha nchi. Nchi imepata kiongozi.

Hiyo tiketi ya URAIS amepata kwa ngekewa. Aliambiwa akachukue fomu ili baadae awe mpiga debe wa mgombea aliyemtuma (jina kapuni). Elewa, Tanzania ya sasa sio ile ya miaka ya 90. Tunajua kila kitu. Tunaogopa asije kuwa TV wakati wengine wameshika REMOTE!!
 
Back
Top Bottom