Kisa cha kweli: Nimemfumania mke jana usiku

Umefanua kwa asilimia ngapi ! kabla ujatoa hukumu .ushaidi kama hakuna ni ngumu
 
Duh...balaa😅

Zaidi ya hatari. Si unamjua Rafiki Yako akili zake nyingi zinamwagika?

Kuna siku mambo haya haya ya michepuko, akasema akijua Mr anagawa ofisini, atamtafuta Mme wa huyo mwanamke amgee na yeye.

Sasa hapo ndio nikasema tuwasiliane nimwelekeze alipo Mrs wangu amlengeshe Mr wake ili nasie turekebishe.
 
Ha haa basi kama na mie nitaingia na mr wangu lazima awepo. Itanoga sana
 
Ndio maana nikasema inabidi tuwe 6. Nimeshalipeleka ombi lako kamati kuu Kwa mjadala na maamuzi ya hatua zaidi. Mie ndio mwenyekiti, katibu, mweka hazina, mjumbe na karani ni Evelyn Salt . Bila shaka umeanza kuona mwelekeo wa majibu.

Sharti, Mr wako asijue huu mpango.
 
Back
Top Bottom