Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi.

Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa wanapishana kuja kumuombea maana aliumwa kipindi kirefu sana, Siku moja jioni alizidiwa na hatimae kufariki dunia( kwa mjibu wa dakitari ) baada ya taratibu za hapa na pale mwili kuandaliwa! Kupelekwa mchowari alipiga chafya na kurejea na kutoka pale akawa mzima mpaka leo, alichokisema ni hiki hapa baada ya kuzinduka

1: Kuna maisha baada ya haya, anasema alitoka nje ya mwili wake na akaona jinsi dakitari alivyokuwa anampima pima na jinsi ndugu walivyoanza kulia, baada ya hapo alijikuta yupo dunia nyingine kabisa tofauti na hii!!

2: Anaendelea kusema unakuwa na akili zako zote na kumbukumbu zako zote, maana yeye alipofika eneo hilo alikuwa anakumbuka kila kitu kilichopo duniani, na alijua amekufa!

3: Matendo yako ndo yataamua uende njia ipi , ya mbinguni au kuzimu, anasema baada ya kufika eneo aliona kwa mbali majitu mawili ya kutisha yanakimbia kuja kumlaki!, lakini ghafula wakashuka watu wawili wamevaa nguo nyeupe wale majitu waliopoona wale watu wawili walirudi nyuma, wale malaika wakamwambia arudi abatizwe kwa maji mengi, maana hawezi kuingia mbinguni, na ndo maana wale majitu yalikuwa yanamfuata!! Baada ya kuambiwa rudi duniani ukabatizwe ndipo akarejea duniani!

Note:
1: Hamna mtu atakayeenda mbinguni bila kumwamini Yesu!!
2: Ukitaka kwenda mbinguni fuata yote aliyoyafanya Yesu ikiwemo ubatizo aliobatizwa sio vinginevyo.

Huu ushuhuda ni kweli wakuu, Sio wa kudharau.
Ina maana na mimi niende kubatiziwa mto Yordani?
 
Pumbavu kabisa...
Yaan bado mnastori zakipuuz mpka karne hii?

Hayo maubatizo ni ushirikina kma ushirikina mwingine wa kuoga njia panda.

Hiyo mbingu&jehanamu hazipo na hazitowai kuwepo.

Huyo mgonjwa wenu mpumbv, kazanen kumpa lishe bora na matibabu ya kisaikolojia,maana ndoto za mawenge zinamsumbua.

Hiv nan kawakalilisha kuwa malaika ni lazma avae mavaz meupe? Mbna biblia zenu zinawaumbua?

Alaf pia biblia zenu znasema hukumu ni moja tuu, yaan baada ya kiama, na sio pale mtu anapokufa, je kwann mnaleta mikanganyiko enyi wapumbavu mlioacha maadili yakiafrika na kukumbatia ushenz wa mzungu& mwarabu...

Achen upotoshaji
1641121534980.jpg
 
Eti akapiga chafya ndo maana wahudumu wa mochwari wana wapigaga marungu kuwamalizia kukwepa unnecessary stories
niliwahi kupiga story na mortuary attendant anakumbia mtu akizinduka kule ndani anammaliza maana huku nje watu washaambiana kuwa biashara ishakwisha.
 
Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi.

Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa wanapishana kuja kumuombea maana aliumwa kipindi kirefu sana, Siku moja jioni alizidiwa na hatimae kufariki dunia( kwa mjibu wa dakitari ) baada ya taratibu za hapa na pale mwili kuandaliwa! Kupelekwa mchowari alipiga chafya na kurejea na kutoka pale akawa mzima mpaka leo, alichokisema ni hiki hapa baada ya kuzinduka

1: Kuna maisha baada ya haya, anasema alitoka nje ya mwili wake na akaona jinsi dakitari alivyokuwa anampima pima na jinsi ndugu walivyoanza kulia, baada ya hapo alijikuta yupo dunia nyingine kabisa tofauti na hii!!

2: Anaendelea kusema unakuwa na akili zako zote na kumbukumbu zako zote, maana yeye alipofika eneo hilo alikuwa anakumbuka kila kitu kilichopo duniani, na alijua amekufa!

3: Matendo yako ndo yataamua uende njia ipi , ya mbinguni au kuzimu, anasema baada ya kufika eneo aliona kwa mbali majitu mawili ya kutisha yanakimbia kuja kumlaki!, lakini ghafula wakashuka watu wawili wamevaa nguo nyeupe wale majitu waliopoona wale watu wawili walirudi nyuma, wale malaika wakamwambia arudi abatizwe kwa maji mengi, maana hawezi kuingia mbinguni, na ndo maana wale majitu yalikuwa yanamfuata!! Baada ya kuambiwa rudi duniani ukabatizwe ndipo akarejea duniani!

Note:
1: Hamna mtu atakayeenda mbinguni bila kumwamini Yesu!!
2: Ukitaka kwenda mbinguni fuata yote aliyoyafanya Yesu ikiwemo ubatizo aliobatizwa sio vinginevyo.

Huu ushuhuda ni kweli wakuu, Sio wa kudharau.
Kusadikika
 
Uongo wako utakupeleka motoni kama kwel8 moto upo
 
Note 1 Ina utata!! Wote wasiomwamini Yesu wataenda motoni? Mungu aliumba ili aangamize? Fikiria kwa makini! Mungu wa kweli hawezi kufanya hivyo! Ndio maana naamini dini zimesukwa tu na wajanja. Wewe amini unachoamini kwenye moyo wako.
 
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Mzee mimi siamini wakorinto wala wafarisayo, wala ufalme wao wa kusadikika siuhitaji, kifupi siamini katika kuumbwa, naamini katika Soul kuishi milele, kasomeni tena kwanini Yesu alisema atarudi na alishakufa, ukilijua jibu lake, basi mimi ndio naamini kwenye njia hizo, sio zingine..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom