Kisa cha Kweli: Hawara alivyonifilisi

Status
Not open for further replies.
Huoni kasema kwamba staili zote walimaliza? Pigia mstari hapo.
 
Mdogo wangu, kwa hili niite mmbea tu, ukiniambia nitakupenda zaidi

😂😂😂
Kaka tafuta hela utuletee wadogo zako si unaona tunavyozurura humu hii ni ishara kwamba hatuna ishu hatuna dili Corona imetupiga moja kwa moja kwenye ishu zetu.
 
Mdogo wangu, kwa hili niite mmbea tu, ukiniambia nitakupenda zaidi

[emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki si wajua navyokupenda [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] naomba ning'ate sikio nimetoka kapa kika nikijaribuuu inakataaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…