Hata mimi sikuelewi kabisa!! Haiadhuru hiki ni kisa cha kweli kinamhusu rafiki yangu ambaye jana alikuwa anafikisha miaka 50 lakini na siku hiyo pia ni kumbukizi la kifo cha mtu anayedai "alimpenda" sana!!Mwenzenu mimi sijaelewa kabisaaaaaaaaaaaaa............
Kigarama unampa hongera ya kuzaliwa na hongera ya kuua mtu?Kishindo kile cha kugongwa kilimstua Marietha na alipogeuka alimuona Mwanaume aliyempenda amelala chini kwenye dimbwi la damu akiwa hana uhai tena. Ingawa Marietha aliolewa na yule aliyempa Mimba na kufanikiwa kuongeza watoto wengine watatu lakini mpaka leo anasema kila inapofika siku aliyogongwa mpenzi wake yule hufanya kumbukumbu ya kibinafsi. Bahati MBAYA (NZURI) sana kwake siku hiyo ni siku yake pia ya kuzaliwa!! Happy Birthday Marietha!!
my birthday wishes to her.
ashukuru Mungu hakuvuka barabara na yule mpenzi wake.
huyo Mbunge alimrubuni mke wake imagine atatufanya nini sisi Watanzania ambao hatujui. nchi za watu hiyo ni bonge la reason ya kumnyima mtu kura.
unataka tubishane?? Umeshamjua Marietha kwa hiyo umechagua marafiki wa Marietha ukamuona Kigarama basi ukasema "huyu ndiye Uncle wangu" TUSIBISHANE 'Uncle"!!Kigarama wewe ni uncle wangu na jina lako la kwanza linaanziwa na J. Bisha?