Kisa cha kusisimua

Sasa habari ya mjini kweli ulikuwa unafatili ishu ya familia tena ishu kubwa namna hiyo unaanzaje kudai hela badala ya kuendelea kufatilia hata chaji nisingefata ilimradi macho yanaona ningefatilia kwa macho tu ingetosha mambo ya maden badae
 
Hehee mkuu kwani wew hela na mke kipi cha kwanza?
 
Pesa ndo kila kitu lkn kumbuka kuna ishu ya kubambikwa mtoto na hapo mtoto mwingine anaenda kutengenezwa sasa nikizibaa ushahidi si nitakosa kwa kudai deni ambalo naweza nkakutana nae siku nyingine tukaendelea kudaiana mkuu.
 
Ulichoanza nacho ni tofauti na ulichomalizia, wweeee punga sana
 
Daah mangii bhanaa akulipe chambi yako bhanaa asilete ufalaa...!! [HASHTAG]#hakuna[/HASHTAG] mchaga fala kwenye pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…