Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,045
- Thread starter
- #21
Hela kwanza mkuu..bila hela hawa viumbe utaishia kuwaita shemeji hahaaHahahahaa.... stori ya mke vipi?
Hela kwanza mkuu..bila hela hawa viumbe utaishia kuwaita shemeji hahaaHahahahaa.... stori ya mke vipi?
Umetisha hahahaahHela kwanza mkuu..bila hela hawa viumbe utaishia kuwaita shemeji hahaa
Naam mkuu...!!!ha ha ha ha ha ha Habari ya Mujini
Mkuu unatafuta ugomvi wa mawe..!mangi bwana!?nmepay atensheni kinyama alafu unaleta habari za kilo mbili?dah kweli mchaga hata akikufuma unampasua marinda mkewe we zama 2 kwa waleti.
Hehee mkuu kwani wew hela na mke kipi cha kwanza?Sasa habari ya mjini kweli ulikuwa unafatili ishu ya familia tena ishu kubwa namna hiyo unaanzaje kudai hela badala ya kuendelea kufatilia hata chaji nisingefata ilimradi macho yanaona ningefatilia kwa macho tu ingetosha mambo ya maden badae
Kwahiyo machungu ya mke umeamua kuyamalizia kwa jamaa unaemdai pesa yako!Hela kwanza mkuu..bila hela hawa viumbe utaishia kuwaita shemeji hahaa
Kwann mkuu?mwehu kabisa wewe.....
Hehee pesa muhimu mkuu..!!Kwahiyo machungu ya mke umeamua kuyamalizia kwa jamaa unaemdai pesa yako!
Hahaahaaa.......
hivi kuna namna ambayo unaweza kuiendeleza angalau upunguze hasira zangu!!!Hehee pesa muhimu mkuu..!!
Na kweli zamaulid afanye juu chini apunguze hasira za watu.hivi kuna namna ambayo unaweza kuiendeleza angalau upunguze hasira zangu!!!