Wasukuma na uganga/ushirikina. Wanauamini sanaHabari wana intelligence.
Kuna simulizi niliwahi kuisikia kutoka usukumanj ambapo anatoka mwanamalundi.
Humu zimeshaandikwa sifa zake nyingi sana sina haja ya kurudia.
Huyu bwana alikuwa na visa na watu wengi kutokana na jinsi alivyokuwa hivyo wengine wakawa wanatafuta njia ya kumuua au kumdhuru.
Ilikuwa akisema neno linatokea kweli.
Katika pitapita zake porini akabanwa na haja kubwa. Bila hiyana akachutama na kukata gogo.
Kumbe lile tukio kuna asidi wake wanamdere hivyo alipoondoka jamaa walichukua mzigo wake na kuuweka mlangoni kwake.
Mwanamalundi aliporudi nyumbani alikuta mzigo mlangoni na hapo hapo akatamka neno.
" Aliye ku*ya hapa na afe"
Basi mwenye mzigo wake akafariki ambapo ni yeye mwenyewe.
Hii simulizi nimeikuta usukumani.
Nipo tayari kukosolewa
Etiii eehee wamesikia wasukuma mkuje huku kuna tuhuma ya kujibuWasukuma na uganga/ushirikina. Wanauamini sana
Aliyekunya hapa na afe.Alikufaje wakati yeye alikunya porini akunya pale alipopatamkia maneno labda ilibidi aseme ivi mwenye mavi aya afe apo sahihi pale yaliwekwa tu na mtu kayabeba toka porin kwaiyo mtoa post nimekupinga kwa hoja iyo.
Umesoma vizuri hiyo screenshot? Hakuna sehemu umri wa mwanamalundi umeongelewa,Umri umekataaa.
Leta hoja nyingineView attachment 1463148
mkisha shiba mnakosa kabisa vya kuandika hii inafaa iende kwenye jukwaa la Jokes/Utani + Udaku/GossipsHabari wana intelligence.