Kisa cha Engineer Rashid

Electric bed inasnzia milioni 15 ndiyo maana nilisema si cha apeche alolo.
Mzee ameona kama anaanza hivi Rashid atakuwa pale kwa muda mrefu sana. Ajenge kwanza ndiyo election bed ifuatie.
Hapo mzee wake yupo sahihi.
 
Ni funzo kwa vijana wa leo...
Hasa hasa tunaoshindwa kujua priorities katika maisha.
ASANTE
 
Engineer alipaswa aelewe, yeye ana nunua eclectic bed kwenye nyumba ya mzee wake!
Alishindwa kutofautisha kwetu na kwangu...

Vijana wengi tunaweza kutofautisha hata mnyamwezi na msukuma kwa kuangalia tu lakini kutofautisha "kwetu" na "kwangu" pepa gumu sana...
 
Ujumbe kuntu kwa watozi wa kileo. Lakini unadhani suruwali zinazobana korodani zinaruhusu ubongo kufanyakazi ipasavyo?

Bazazi
 
Bibi mbona naona code code tu? nimesoma Mara tatu lakini waapi au una mzio wa wk end? πŸ˜€πŸ˜€:
Du!.. Mzio...mzio... hili neno jipya, niliwahi kulisikia sana mahali!.πŸ™„
 
Rashidi aunge mkono juhudi za rais ahame kwa baba yake ahamie Lumumba au nyumbani kwa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…