Kuchana Quran na Biblia ilitakiwa kuwa sehemu ya free speech.
Nchi zilizoendelea kama Marekani unaruhusiwa kuchana Biblia, Quran.
Unaruhusiwa hata kuchoma moto bendera ya Marekani.
Ila ununue yako uichome yako mwenyewe.
Ni free expression.
Ni huko tunakofuta ujinga bado ndiyo mnajiletea matatizo ambayo hayapo.
Na labda ni sawa.
Kwa sababu mnafuta ujinga bado.
Sent using
Jamii Forums mobile app