Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Para ya mwisho ndio yenyewe. Ni bora kutokomea kusikojulikana, kwa mtu mwenye akili sawasawa matukio kama haya yanakudumaza kiakili kabisa.Kitaalamu tunasema jamaa alikuwa insane at the material time (wakati anachana hizo juzuu).
Lakini kwa kuwa wamelihandle kisiasa as usual basi ndio kwisha habari yake.
Ewe muafrika ukipata nafasi ya kupotea hili bara fanya hivyo hima maana hili bara linasemwa ni la giza na kweli bado kuna giza jingi sana.
Unforgetable
Enzi hizo....Umenikumbusha Agip na ile nembo yao ya mnyama mwenye miguu 6 anayetema moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka hiyo aliyotaja 70s au early 80s bila shaka atakua amestaafu kwa sasa
Tuwekee jina lake hapa huyo daktari mkuu, pengine tunaweza kumfahamu. Ila serikalini watu huwa wanafanyiana mtimanyongo sana hasa miaka hiyo uliyoitaja.
Tukirudi kwenye mada, bandiko lako hili unalhusisha vipi na tukio la yule jamaa kuchana kitabu cha dini?
Nimeficha jina kwa makusudi maana hajanipa ruhusa nimtaje (na siamini kuwa watoto,wajukuu au ndugu zake) wangependa nimtaje. Ila nina uhusiano nae kiukoo.
Huyo anaedaiwa kuchana juzuu nae yaweza kuwa ni mgonjwa anaestahili kusaidiwa (ili arejee kutimiza majukumu yake ya kifamilia, kijamii na kiserikali). Inawezekana kabisa kuwa jamaa ni mfanyakazi mzuri tu na kawa distressed tu hadi kuchana juzuu.
Mleta uzi unamzungumzia dokta shika msukuma
Kwa miaka hiyo aliyotaja 70s au early 80s bila shaka atakua amestaafu kwa sasa