Kisa cha binti aliyejitupa baharini

Kisa cha binti aliyejitupa baharini

wazazi wanamatatizo badala waongee nae vizuri wamtisha mpeleka polisi mtoto kaona bora atoroke
 
Utandawazi tragedy..Kuna watu walisema tukio lilikuwa limepangwa ili kuipa kiki Azam Marine,asante mwandishi kwa kazi nzuri iliyoondoa utata huo.Shukrani pia kwa mabaharia pamoja na binti mwenyewe kujua kuogelea.

Kuna kitu hakijakaa sawa sawa, tangu lini mtu akatumbukia baharini akabakia anaelea kama hana boya? Ukitumbukia baharni unazama kabisa mwili wako unakuja kuelea baada ya siku mbili/tatu kupita and not instantly.
 
Moyo wa mtu ni msitu wagza na unefichika kama vingine vifichwavyo na msitu wa nguo- mweeeee
 
Kuna kitu hakijakaa sawa sawa, tangu lini mtu akatumbukia baharini akabakia anaelea kama hana boya? Ukitumbukia baharni unazama kabisa mwili wako unakuja kuelea baada ya siku mbili/tatu kupita and not instantly.
Jaribu kupitia laws of floatation ndugu.
 
Mungu amfanyie wepesi aendelee na maisha yake vzr
 
Kuna kitu hakijakaa sawa sawa, tangu lini mtu akatumbukia baharini akabakia anaelea kama hana boya? Ukitumbukia baharni unazama kabisa mwili wako unakuja kuelea baada ya siku mbili/tatu kupita and not instantly.
Kwa huku Zenji ni nadra sana kumkuta mtu kutojua kuelea, maana vijana wengi kila weekend hutoka day out, so ni vigumu kijana kutokua na idea ya kuogelea
 
Pole yake, wazazi tunapaswa kua makini in approaching our young daughters.
 
Kajanja haka kabinti kwenye video kanaonekana kametanua mikono na miguu ili asizame
 
Hapa ndipo unaweza ona kuwa sisi Watanzania...wavivu wa kufikiri... Ebu rejea kwa makini sana hiyo TAARIFA, utapatakuona kuwa MWANDISHI hakuitendea haki hiyo TAARIFA.
 
Kuna visichana miaka 14, 15 na 16 hapa Denmark tena wakristo wadeni vimepigwa saundi na vijana wa ISIS huko Syria kwenye Fcabook had vimetiroka viko raqqah kama jihadi bride. Mwengine kutoka Sweden 16 yrs naye kalipigwa saundi kwenye FB kakayoroka na kusnik Syria ila kalitoroka nakuokolewa na pesharmega ila pumbuh za kutosha alishapigwa. Hakuna watu hatari duniani kama vijana wa ISIS Kwa kudanganya visichana kwenye FB

{ CHUNGA { 'ULIMI' } WAKO }
 
Back
Top Bottom