Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,110
- 1,077
Sijaielewa hiyo habari sijui ubashite wangu
Moyo kusukuma damu na so vingine!
Hapo sawa maana watu walituma picha ambazo ni tofauti na kuandika tofauti asante [HASHTAG]#aleesha[/HASHTAG]
kivp mkorinto!!??Simu yenye whatsapp na facebook yazua taharuki.
Maa shaaa Allaaah
Mwanamke sio mwenzio.Huyu binti alikua na miaka 16? au macho yangu yana tatizo?
mashalah katoto kama hako samaki walikuwa wanataka kukafaidi.. lahaulaa
Utandawazi]tragedy.Kuna watu walisema tukio lilikuwa limepangwa ili kuipa kiki Azam Marine. asante mwandishi kwa kazi nzuri iliyoondoa utata huo.Shukrani pia kwa mabaharia pamoja na binti mwenyewe kujua kuogelea[.
Labda kama bint alisema ameathirika.Dereva tex kweli alimuacha hivi hivi...!!? Basi watu wema bado wapo
Maudhui ya hii habari ni "Mshangao"Moyo wa mtu ni kiza kinene
NAKUELEWA SANAAAAAAAMoyo wa mtu ni kiza kinene