Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,483
- 34,022
Asante sana kwa kisa hiki na taarifa hiiSiku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi.
Sharif Mohamed Yahya kutoka Tanga kaniandikia hayo maneno hapo chini na kaandika kwa herufi kubwa tupu.
Nami nabakisha hivyo hivyo herufi kubwa kama nilivyopokea:
KUNA JAMBO JENGINE HALIZUNGUMZWI PIA KUHUSU AMRI ZA OKELLO.
PALE ALIPOTOA AMRI KALI KUHUSU MTAA WA MALINDI WAJITOKEZE WAMEPIGA MAGOTI NA YEYE ATAPITA HUKO KUKAGUA.
HABIBU UMAR BIN SUMEYT AKAWA WA KWANZA KUTOKA NA KUPIGA MAGOTI.
WAKAMNASIHI WATU ARUDI NDANI AKAGOMA.
WAKAENDA KWA KARUME, KARUME AMTUMA BABU AKAMUONDOE NA ZIARA HIYO IKAFUTWA.
WAMESEMA WENYE KUSEMA KUWA HAPO NDIO ULIKUWA MWANZO WA MWISHO WA OKELLO.
P,Asante sana kwa kisa hiki na taarifa hii
P
Wildfire,Mzee MS, huyu Habibu alikuwa ni nani?
Fasihi simulizi vs fasihi andishi,Kisa hichi mimi kwanza nilisimuliwa na bibi mmoja aliyelelewa na Habib Omar na ambaye walikuwa pamoja barabarani pamoja na watu wengine wa aila ya Habib Omar siku hiyo ya tukio. Na baadaye nikaja kukisoma kwenye kitabu cha Bi Fatma Mohamed Salim Jinja 'Gone With The Tide'."
Pascal...Fasihi simulizi vs fasihi andishi,
maadam Sharif Mohamed Yahya amekuandikia na wewe uliwahi kusoma mahali, then fasihi andishi ndio the correct details, taarifa ya Jussa ni fasihi simulizi, fasihi andishi is more trustworthy than fasihi simulizi, ndio maana bado tunasisitiza mashuhuda ndio wasimulie, waandishi waandike toka kwa mashuhuda na sio wasimuliwa!.
Hakuna ubishi kuhusu Habib Omar bin Sumait alitoka nje, jee ni akasimama, alikaa kwenye Kiti au alipiga magoti?.
P
Kiburi sii muungwana!, nilisikikiza zile amri zake za matangazo ya Redio pale Karume House, wakati akitangaza Mapinduzi ya Zanzibar, kiukweli... tuache tuu.Pascal...
Muhimu katika kadhia hii ni kule Okello kufikia kibri cha kiasi kile.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Siku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi.