Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Nani amekuambia huu ni mkopo?
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Hata mimi ninawashangaa wanapoanza kuhoji hoja za watu wanaopiga vita majungu na udaku kuhusu Mkuu wa Majeshi.Mlizusha ya CDF Sasa mmeumbuka hamtaki watu wahoji hiyo tabia ya kutunga na kusambaza tuhuma ili kujipatia mtaji wa kisiasa ... Aibu zenu..... Njia ya mwongo ni fupi sana ......
Hujaelewa hoja yangu badala yake unakimbilia sentesi moja.Ina maana katika kusoma kwako hujayaona haya maandishi au haujaelewa?
Hujaelewa hoja yangu badala yake unakimbilia sentesi moja.
Kama hufahamu maana ya hoja utafahamu vipi kama swali ni sehemu ya hoja?Eboh!!! Hivi kumbe ulitoa hoja...
Sikuwa najua kama maswali yamegeuka kuwa hoja siku hizi...
Kama hufahamu maana ya hoja utafahamu vipi kama swali ni sehemu ya hoja?
Ndio maendeleo ya Kikwete hayo, atakuambia matunda ya safari za Rais huku anatuacha na deni la trilioni kibao.
rev kishoka
IPO hoja hapo!
Total country has already sold.
""haiwezekani mtu akakukopesha tu,kibaya tena na tena mfululizo!
Kwahiyo tunakopa commercial banks kulipia barabara, lakini makuruza ya washawasha tunalipa cash sio??Nani amekuambia huu ni mkopo?
Historia ya Tanzania na China haijaanza leo. Tafuta hata historia ya huo uwanja na kambi ya kijeshi.
Hii ni mikemko ya kisiasa.
Kuna baadhi ya watu hapa Jf walihoji uwepo nchini wa Mkuu wa Majeshi lakini hatukuona thread ya kuwaambia wanachokihoji hakina mantiki. Leo Mkuu wa Majeshi amejitokeza, ghafla tunaona mnaanza kuhoji hoja za watu wanajaribu kupiga vita majungu na udaku kuhusu Mkuu wa Majeshi.
Hii ndiyo Tanzania ambayo kuwa watu walituaminisha kwa muda mrefu hata wawekewe bastola kichwani hawawezi kumchagua Lowassa kutokana na kashfa nyingi za ufisadi na rushwa lakini kwa sasa ndiyo wamekuwa wapiga debe wa Lowassa.
Huu ni unafiki wa kisiasa.
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Hakuna nchi hata moja duniani yenye uwezo wa kibajeti wa kufanya mambo yake yote inayotaka. Kwa sababu hiyo nchi huweka vipsumbele na phases za kutekeleza mipango yake. Anapotokea partner wa kuiongezea nguvu serikali kufanya mambo yake mapema zaidi hakuna ubaya.
Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kukopa pesa nyingi toka China. Wewe mtanzania ukisusia na kubeza msaada wa China unajicheleweshea maendeleo yako bure.
By the way, ni sahihi watu kukemea tabia ya kuzusha mambo kuhusu viongozi. Kujaribu kibelittle ukemeaji wa tabia hiyo ni sehemu ya kuishabikia.